Rais Banda amwagia sifa JK.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Malawi, Mheshimiwa Joyce Banda alipowasili kwenye Uwanja wa ndege wa kimataifa wa...
View ArticleWakazi wa Kigoma walipokea kwa kishindo Tamasha la Serengeti Fiesta 2013.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya,Neylee akiimba kwa hisia kwenye jukwaa la tamasha la Serengeti Fiesta 2013,usiku wa kuamkia leo kwenye uwanja wa Lake Tanganyika. Sehemu ya umati wa watu waliofurika...
View ArticleWito watolewa kwa waandishi wa habari kushirikiana na Wataalam wa Afya...
Mwezeshaji wa mafunzo ya masuala ya Afya waJjumuiya ya vilabu vya waandishi wa habari nchini (UTPC),Dk.Ahmed Twaha (wa pili kulia) akitoa wito kwa waandishi wa habari (hawapo kwenye picha)...
View ArticleWaziri Kawambwa akwepa kuzungumza na wananchi waliovunjiwa nyumba zao kupisha...
Mmoja wa kundi la Wananchi waliovunjiwa nyumba zao kupisha ujenzi wa Chuo cha Afya cha Muhimbili (MUHANS) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari ambae hakutaka jina lake litajwe ambapo alisema “...
View ArticleWorth reading: A Pensioner & His Garden.
Do you want a lawn like this? Well, it’s easy in theory. You just need to spend 30 hours a week gardening and do it for 30 years! That’s how long 70-year-old Stuart Grindle has spent turning a former...
View ArticleMama Kikwete atunukiwa tuzo ya kimataifa ya jitihada za kuendeleza rasilimali...
Mwenyekiti wa WAMA Mke wa Rais Mama Salma Kikwete. Na Anna Nkinda – Maelezo. Mke wa Rais Mama Salma Kikwete ametunukiwa tuzo ya kimataifa ya jitihada za kuendeleza rasilimali watu katika taifa kwa...
View ArticleActivities at the 33rd Heads of State and Government SADC Summit in Lilongwe,...
President Jakaya Mrisho Kikwete of the United Republic of Tanzania in a photo with President Joyce Banda of Malawi and President Armando Guebuza of the Republic of Mozambique yesterday. (photo by...
View ArticleMstahiki Meya wa Ilala Mh. Silaa atoa somo kwa vijana jinsi wanavyoweza...
Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala Mh. Jerry Silaa akibadilishana mawazo na Mwenyekiti wa Chimbo School of Thought ambaye pia ni mtangazaji wa redio Clouds na TV Harris Kapiga wakati...
View ArticleHalmashauri ya manispaa ya Temeke yafanikiwa kukusanya asilimia 112.2 ya...
Msemaji wa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke Bi. Joyce Msumba akiwaeleza waandishi wa Habari juu ya mikakati ya kuimarisha mifumo ya ukusanyaji mapato katika manispaa hiyo ili kuboresha huduma za...
View ArticleMsimu Mpya wa Wanawake LIVE kuanza leo usiku EATV.
Usikose kukutana na ‘Super Woman’ Joyce Kiria kwenye Wanawake Live kuanzia leo Jumanne saa TATU KAMILI usiku kupitia EATV, na Jumanne zote zinazoendelea anapokuletea issue mbali mbali kuhusiana na...
View ArticleRais Kikwete akutana na Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Maitafa katika Darfur Bw. Mohamed Ibn Chambers aliyekutana na kufanya mazungumzo naye Ikulu jijini Dar es salaam...
View ArticleKesi ya mwariadha Pistorius wa Afrika Kusini kuanza kusikilizwa mwezi Machi...
Bingwa wa mbio za Olimpiki kwa Watu Wenye Ulemavu Duniani Oscar Pistorius anatarajiwa kufikishwa mahakamani mwezi wa Machi mwaka ujao akikabiliwa na mashtaka ya kumuua mpenzi wake katika Siku ya...
View ArticleVijana watakiwa kuchangamkia fursa za elimu zinazotolewa na vyuo mbali mbali...
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizindua maabara ya mafunzo ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano ( Tehama) ya chuo Kikuu huria cha Tanzania katika kituo cha Uratibu cha Chuo...
View ArticleMeneja wa Pangani FM aibiwa fedha taslim na nyaraka muhimu katika Hoteli...
Muonekano wa nje wa Hoteli ya LISBON wilayani Sengerema mkoa wa Mwanza lilipotokea tukio la wizi wa mali za mteja.(Picha na Zainul Mzige wa Mo Blog). Na.Mwandishi wetu. Katika hali isiyo ya kawaida...
View ArticleKiongozi wa kundi la Muslim Brotherhood la Misri Mohammed Badie atiwa mbaroni.
Kiongozi wa kiroho wa kundi la ‘Muslim Brotherhood’ la nchini Misri Mohammed Badie amekamatwa mjini Cairo. Taarifa zinasema kiongozi huyo amewekwa chini ya ulinzi katika nyumba moja ya makazi katika...
View ArticleRedio za kijamii nchini zatakiwa kuwa wabunifu katika kutengeneza vipindi...
Afisa Habari wa Kituo cha Habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC) Bi. Usia Nkhoma Ledama akifafanua jinsi waandaaji wa vipindi wanavyoweza kutafuta habari nzuri zenye kuelimisha kwa ajili ya redio za jamii...
View ArticleWanyarwanda wazidi kutapatapa na kupika Habari za Uwongo kwa Uongozi wa...
Rais wa Rwanda Mh. Paul Kagame. Msemaji Mkuu wa Serikali ya Tanzania ambaye ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO Bw. Assah Mwambene leo jijini Dar es Salaam alipokuwa akizungumza na waandishi...
View ArticleUVCCM wamtaka Rais Shein amuwajibishe Mwanasheria Mkuu wa SMZ kutokana na...
Katibu Idara ya Oganaizeshen Asiya Sharifu, akimkaribisha Naibu Katibu Mkuu UVCCM Zanzibar Shaka Hamdu Shaka ili azungumze na waandishi wa habari wa kwanza kushoto ni Mkuu wa Utawala UVCCM ofisi ya...
View ArticleMaisha ya Ngoma na Dance Circle Washington DC.
Wamarekani waishio Jijini hapa wakiwa ndani ya maisha ya burudani ya ngoma ya dance circle katika park ya Malcolm X park iliopo Euclid W Streets &15th and 16th Streets, NW Jijini Washington...
View ArticleMama Tunu Pinda azindua mradi wa kusaidia Watoto Kike nchini.
Mgeni rasmi Mama Tunu Pinda akikata utepe kuashiria uzinduzi wa huduma ya kumsadia Mtoto wa Kike, kushoto kwake ni Mkururugenzi Mtendaji wa TMARC Bi. Diana Kisaka ambao ndio waandaji wa mradi huo....
View Article