Katibu Idara ya Oganaizeshen Asiya Sharifu, akimkaribisha Naibu Katibu Mkuu UVCCM Zanzibar Shaka Hamdu Shaka ili azungumze na waandishi wa habari wa kwanza kushoto ni Mkuu wa Utawala UVCCM ofisi ya Zanzibar Mbaruk Mrakib, mkutano huo umefanyika Gymkhana Mjini Zanzibar.
Naibu Katibu Mkuu UVCCM Zanzibar Shaka Hamdu Shaka, akizungumza na wandishi wa habari ofisini kwake Gymkhana Mjini Zanzibar kuliani kwake ni Mkuu wa Utawala UVCCM afisi ya Zanzibar Mbaruk Mrakib, kushoto Katibu Idara ya Oganaizeshen Asiya Sharifu.
Mwandishi wa habari Jacoub Joseph wa Hits fm radio akimuliza sualia Naibu Katibu Mkuu UVCCM Zanzibar Shaka Hamdu Shaka,huko ofisini kwake Gymkhana Mjini Zanzibar.
Naibu Katibu Mkuu UVCCM Zanzibar Shaka Hamdu Shaka akisisitiza kitu alipokuwa akizungumza na wandishi wa habari ofisini kwake Gymkana Mjini Zanzibar.