Quantcast
Channel: MO BLOG » Admin
Browsing all 1758 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Milioni Mia kutolewa na Jeshi la Polisi kukomesha wahalifu wa kutumia tindikali.

Jeshi la polisi kanda Maalum ya Dar es Salaam limeahidi kutoa zawadi nono ya shilingi milioni mia moja kwa atakayetoa au kufanikisha kukamatwa kwa wahalifu wanaotumia tindikali. Kamishna wa Polisi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tigo yatoa zawadi ya flat screen Samsung LCD kwa wateja wake wa Facebook.

   Mwanafunzi wa chuo cha St. Joseph, Goodluck Msongore (23) akipokea zawadi ya Samsung LCD flat screen ya inchi 40 kutoka kwa Afisa Mtandao wa Kijamii wa Tigo Bi. Samira Bamaar katika hafla fupi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mstahiki Meya Jerry Silaa akabidhi msaada wa taa za Theater Hospitali ya...

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Silaa akisaini kitabu cha wageni ofisini kwa Mganga Mkuu wa Hospitali ya Amana  Dk.Meshack Shimwela alipowasili Hospitalini hapo kukabidhi msaada wa taa za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mhe. Rais Kikwete akutana na Vijana walioacha madawa ya kulevya Ikulu Dar.

  Kijana Jimmy Changchuu alieachana na matumizi ya dawa za kulevya akimkabidhi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete picha aliyochora yeye na kijana mwenzake wakati vijana hao walimpomtembelea Rais Ikulu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Watu 44 wauawa kaskazini mwa Nigeria katika msikiti mjini Konduga.

  Maafisa wa usalama katika eneo la kaskazini mwa Nigeria wameripoti kuwa watu waliokuwa na silaha  waliovalia sare za kijeshi wamewapiga risasi na kuwauwa watu 44 katika msikiti mmoja mjini Konduga....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Leadership Tips – Mohammed Dewji.

# Fix The Problem, Not The Blame. # Tell People What You Want, Not How To Do It. # Manage the function, not the paperwork. # You never have to make up for a good start. # Get out of your office. #...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TBL Marketing Director, Kushilla Thomas hands over a jersey signed by all the...

The Tanzania Breweries Marketing Director, Kushilla Thomas hands over a jersey signed by all the players of the FC Barcelona first team to President Jakaya Kikwete at the State House in Dar es Salaam...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Washindi wa Droo ya nne ya “Miliki Biashara Yako” ushinde Bajaj wakabidhiwa...

Meneja wa utoaji bidhaa wa Kampuni ya simu ya mkononi ya Tigo Bw. Suleiman Bushagama akimkabidhi bajaji mmoja kati ya washindi wa droo ya nne ya bahati nasibu ya miliki biashara yako Bi. Mariam Bulla...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Haya ndio majibu ya Mugabe ‘Mwamba wa Afrika’ kwa Waandishi wa Kikoloni.

Mwandishi wa habari wa Uingereza anamuuliza Mugabe baada ya kushinda uchaguzi: “Mr President don’t you think 89 years old would have been a great time to rest and retire?” Mugabe akajibu: ” Have you...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Mwakyembe akabidhi rasmi Ithibati ya mafunzo ya Mizigo hatarishi kwa NIT.

Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe(aliyevaa tai nyekundu), akimsikiliza Mkuu wa Chuo Cha Taifa cha Usafirishani (NIT),Mhandisi Dk. Zacharia Mganilwa(kulia) jana kabla Waziri huyo hajakabidhi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Swahili Redio kuanza kurusha Matangazo hewani hivi karibuni kutokea Jijini...

Mkurugenzi wa Swahili Radio Bwana Dickson Mkama (DMK) akiwa hewani wakati  wa majaribio. Mkurugenzi wa Swahili Radio Bwana Alex Kassuwi (King) akiwa hewani akifanya majaribio. Bwana DMK akiendelea na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kamati kuu ya CCM kuamua hatma ya Madiwani Bukoba.

Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Kagera tarehe 13/08/2013 katika kikao chake cha siku moja kilichofanyika mjini Bukoba imetangaza uamuzi wake wa kuwafutia dhamana ya CCM hivyo kuwavua Udiwani Madiwani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Bolivia records: Aymara herder is 123 years old.

(All Photos by Juan Karita -AP) If Bolivia’s public records are correct, Carmelo Flores Laura is the oldest living person ever documented. They say he turned 123 a month ago. The native Aymara lives...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

The two-days SADC Council of Ministers Meeting officially kicks off.

Malawi this year hosts the 33rd Southern Africa Development Community (SADC) Heads of State and Government Summit at Bingu International Conference Centre in Lilongwe, Malawi scheduled to begin on the...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Swahili Tv Exclusive Interview With Army Nando Mshiriki toka Tanzania...

Swahili TV ilifanya mahojiano exclusive na  Ammy Nando katika Jiji la Los Angeles, USA. Ammy ambaye kwa sasa anajulikana kama Army Nando, Mtanzania mwenye makazi yake katika jimbo la California,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kanali Mstaafu Issa Machibya abariki Semina ya fursa kwa vijana wa Mkoa wa...

Mkuu mkoa wa Kigoma,Kanali Mstaafu,Mh Issa Machibya akizungumza machache wakati wa ufunguzi wa Semina ya Fursa kwa vijana zinazopatikana ndani ya mkoa wa Kigoma na kwingineko,mapema leo asubuhi.Semina...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Angalieni Mayai ya Mende katika Taa za ndege ya Precision.

Duuh ina maana hii ndege haisafishwa ama?? mpaka Mayai ya Mende kwenye taa aibu kubwa sana. Natumaini watajirekibisha na kuiweka ndege yao katika hali ya usafi.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jaji Warioba: Hutushawishi Wananchi, Tunafafanua.

Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph Warioba akifafanua jambo leo (Jumamosi, Agosti 17, 2013) katika mkutano wa Baraza la Katiba la Manispaa ya Morogoro uliofanyika katika Chuo cha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mh. Mbowe awataka Watanzania kujadili Rasimu ya Katiba na kutoa maoni vyema.

Helikopta maalum iliyowabeba viongozi wa CHADEMA akiwemo Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Mbunge wa Jimbo la Hai, Mh. Freeman Mbowe pamoja na Mbunge wa jimbo la Ubungo Mh....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

President Kikwete chairs the SADC Troika-Organ on Politics, Defence and...

  H.E. Jakaya Mrisho Kikwete (left), President of the United Republic of Tanzania walking towards the Meeting Hall where the Southern Africa Development Community (SADC) Troika-Organ on Politics,...

View Article
Browsing all 1758 articles
Browse latest View live