Wamarekani waishio Jijini hapa wakiwa ndani ya maisha ya burudani ya ngoma ya dance circle katika park ya Malcolm X park iliopo Euclid W Streets &15th and 16th Streets, NW Jijini Washington DC.
Watu mbali mbali hukusanyika kila jumapili Malcolm X Park, na kupataburudani ya kupiga ngoma na kucheza kwa pamoja kwa watu wasio na makazi kwenye Maisha ya Ngoma ya Dance Circle kuanzia saa 3-9 MP kila Jumapili.
Kucheza: Mashabiki tafauti wakicheza na kushangilia ngoma ya Dance Circle ndani Malcolm X. Park


Burudani: Mpiga ngoma akia na mwana dada akizungusha chirewa kwa hisia za burudani katika maisha ya kupiga ngoma ya Dance Circlem, ndani ya Malcolm X. Park Washington DC.
Burudani na hisia za wapigaji wa ngoma nkatika mpango mzima wa burudani zinazoendelea katika kumbukumbu za Drum Circle
Mwana dada pamoja na Mzee wakiwa katika burudani ya maisha ya kupiga ngoma ya Dance Circlem, ndani ya Malcolm X. Park Washington DC.
Hisiya za mziki: Mzee akipuliza firimbi katika burudani ya maisha ya kupiga ngoma Dance Circlem
Watu mbali mbali waliohudhuria katika burudani ya maisha ya kupiga ngoma ya Dance Circlem katika ya Malcolm X. Park Jijini Washington DC.
Muonekano flani: Mdada akitumia ipad 5 kuchukua kumbukumbu ya maisha ya kupiga ngoma ya Dance Circlem, pamoja na Dogo Hudhaifa Shatry aliejikunga kuchanganya kupiga ngoma za Drum Circle
