Rais Dk. Shein afanya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri Zanzibar.
Rais wa Zanzibar Dkt Shein, akwaapisha Mawaziri na Manaibu Katibu Wakuu na Manaibu wake, Ikulu. (picha: ZanziNews.com) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein...
View ArticleMakamu Mwenyekiti TASWA Maulid Kitenge afiwa na baba yake mzazi katika...
Habari wadau, naomba kuwajulisha kuwa mwanachama mwenzetu wa TASWA, ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Waaandishi wa Habari za Michezo Tanzania –TASWA Bw. Maulid Kitenge (pichani), amefiwa...
View ArticleNyumba yalazimika kubomolewa ili kumtoa kijana mwenye kilo zaidi ya 600...
Raia mmoja wa Saudi Arabia mwenye uzito wa kilo 610 amelazimika kuchukuliwa kwa ndege kupelekwa hospitali baada ya kushindwa kutoka chumbani kwake kwa muda wa miaka miwili na nusu. Jamaa huyo Khalid...
View ArticleWazawa wa mkoa wa Singida wenye uwezo washauriwa kuwekeza mkoani humo ili...
Bango la Katala Beach Hotel.(Picha na Nathaniel Limu). Sehemu ya majengo ya Katala Beach Hotel iliyopo kandokando ya Ziwa Singidani. Kiongozi wa mbio za mwenge wa uhuru mwaka huu Juma Ali Simai (wa...
View ArticleUteuzi wa Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu Wapya.
Katibu Mkuu Kiongozi, Mhe. Balozi Ombeni Y. Sefue akijiandaa kuongea na Waandishi wa Habari waliojikusanya jioni hii kuhusu Uteuzi wa Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu Wapya, jijini Dar es...
View ArticleOperesheni kali ya aina yake iliyoanzishwa na Kamishna Kova yafanikiwa...
Kamishna wa Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam Suleiman Kova akionyesha sare za polisi pea mbili walizokamatwa nazo majambazi saba zikiwa na cheo cha Station Surgeant (Major) ambapo amesema moja ya...
View ArticleWashindi wa Droo ya tano ya “Miliki Biashara Yako” ushinde Bajaj wakabidhiwa...
Mshindi wa droo ya tano wa promosheni ya Tigo ‘Miliki Biashara Yako’ Bw. Furaha Kitigi akishuka kutoka kukagua Bajaji aliyokabidhiwa na Meneja Usambazaji wa Bidhaa kutoka Tigo Bw. Suleiman Bushangama...
View ArticleBeyonce Spends $2,200 on Chicken From Nando’s Restaurant for Entourage.
Beyonce doesn’t let her entourage go hungry! The 31-year-old singer treated her friends to a feast from Nando’s restaurant in Chelmsford, England following her performance at V Festival in Hylands...
View ArticleMbezi Luis na Basihaya kujengwa vituo vya mabasi yaendayo mikoani.
Msemaji wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam Bw. Gaston Makwembe (kushoto) akiwaeleza waandishi wa habari Mpango wa Halmashauri kujenga vituo vya Mabasi yaendayo mikoani na nchi za jirani katika...
View ArticleObama’s family welcomes a new black Portuguese water dog to White House.
President Barack Obama and his family have welcomed a playful new addition to the White House, a new dog called Sunny. The black Portuguese Water Dog joins the first family’s other four-legged friend...
View ArticleMadaktari tujisajili Daktari Konnect – ICT platform for health services.
Globally there are lots of advancements in ways ICT is used to improve accessibility, timely and best matched health services according to the patients conditions. With available technology todate,...
View ArticleAskari aliyetoa siri muhimu za kijasusi za Marekani ahukumiwa miaka 35 jela.
Askari wa Marekani Bradley Manning alietoa taarifa muhimu kwa mtandao wa Wikileaks amehukumiwa adhabu ya kifungo cha miaka 35 jela na pia amefukuzwa jeshini. Kabla ya hukumu hiyo waendesha mashtaka...
View ArticleRais Robert Mugabe anaapishwa mchana huu kuiongoza Zimbabwe kwa awamu ya saba.
Robert Mugabe anaapiswa leo kuwa rais wa Zimbabwe kwa awamu ya saba mfululizo. Siku hii ya leo ya Alhamisi imrtangazwa kuwa siku ya mapumziko nchini humo ili kuwapa nafasi wafuasi wanaomuunga mkono...
View ArticleBalozi Idd aitaka Sekta ya Habari kutafiti chanzo cha ZBC Redio na Tv...
Balozi Seif akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Kitengo cha ZBC Dar Msangu Said Mohammed alipotembelea chumbna cha Habari cha Kitengo hicho. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni,...
View ArticleMh. Mnyika azindua rasmi Taasisi ya Maendeleo Ubungo UDI kwa lengo la...
Mbunge wa Jimbo la Ubungo Mh. John Mnyika akizungumza na waandishi wa habari wakati akizindua rasmi taasisi aliyoiasisi ya “Ubungo Development Initiative-UDI” inayoendesha kampeni ya ‘Changia Maabara...
View ArticleWadau mnaopenda ‘Burger’ someni hii..!!
Mwanamke mmoja achomoka taya akipanua mdomo kung’ata ‘burger’. Mwanamke mmoja nchini Uingereza amelazimika kwenda hospitali kuunganishwa tena taya yake baada ya taya hiyo kufyatuka mahali pake wakati...
View ArticleWaziri Mkuu Pinda afungua kongamano la uwekezaji mkoani Manyara.
Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akifungua Kongamano la Kwanza la Uwekezaji katika Mkoa wa Manyara mjini Babati. Baadhi ya washiriki wa Kongamano la Kwanza la Uwekezaji katika Mkoa wa Manyara...
View Article