Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Maitafa katika Darfur Bw. Mohamed Ibn Chambers aliyekutana na kufanya mazungumzo naye Ikulu jijini Dar es salaam jana Agosti 19, 2013.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Maitafa katika Darfur Bw. Mohamed Ibn Chambers aliyekutana na kufanya mazungumzo naye Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika Darfur Bw. Mohamed Ibn Chambers aliyekutana na kufanya mazungumzo naye Ikulu jijini Dar es salaam.(PICHA NA IKULU).