Quantcast
Channel: MO BLOG » Admin
Browsing all 1758 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wakazi wa Manyoni- Singida watakiwa kuuza asali au kuku mmoja ili kupata...

Mkuu wa wilaya ya Manyoni  Fatma H.Toufiq, akizungumza kwenye uzinduzi wa uhamasishaji wananachi kujiunga na mfuko wa afya ya jamii (CHF) uliofanyika katika kijiji cha Itagata jimbo la Manyoni...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Popstars Pressure G8 Leaders To End Poverty by singing famous protest songs...

Musicians including Jessie J and Tinie Tempah are performing at a free concert at the Tate Modern in London as part of a campaign to end world poverty. The Agit8 project aims to put pressure on the G8...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mama Salma Kikwete atunukiwa tuzo ya Malengo ya Maendeleo ya Milinia ya mwaka...

  Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, WAMA, Mama Salma Kikwete akipokea tuzo ya Millenium Development Goals, Women Progress Awards 2013, kutoka kwa Ms Jennie Yeung , Rais wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Msichana wa miaka 19 mbaroni mkoani Singida kwa kutupa mtoto mchanga mwenye...

  Kamanda mpya wa jeshi la polisi mkoa wa Singida ACP.Geofrey Kamwela akitoa taarifa kwa waandishi wa habari (hawapo kwenye picha) juu ya kukamatwa kwa Aziza Jumanne (19) mkazi wa kijiji cha Sughana...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Kikwete akutana na Waziri wa Uingereza anayeshughulikia masuala ya Afrika.

  Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Waziri wa Uingereza anayeshughulikia masuala ya Afrika Mark Simmonds jijini London Uingereza leo.(picha na Freddy Maro).    

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rev. Christopher Mtikila won the Case against the United Republic of Tanzania.

 Mch.Christopher Mtikila akiwa kwenye kesi yake kwenye mahakama ya Afrika ya haki za binadamu jijini Arusha wakati wa hukumu ya kesi hiyo alioshinda ya kudai mgombea binafsi dhidi ya serikali ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mh. Makamba na Mh. Kabwe wahudhuria show ya Kijanja ya Mwana FA ‘The Finest’...

Mwana FA akiwasili katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam huku akiwa amevalia suti matata iliyotengenezwa na mbunifu wa mavazi anayekuja kwa kasi nchini Sheria Ngowi.(Picha zote na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Zanzibar waadhimisha Siku ya Wachangia Damu.

Mwanachi wa Zanzibar akichangia Damu  katika madhimisho ya wachangia Damu Duniani kwenye Benki ya Damu salama Sebleni. Waziri wa Afya Juma Duni Haji akiwataka wananchi kuchangia Damu  katika Benki ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tanzania yaahidi kuendelea kuunga mkono hatua za Kimataifa za kutafuta amani...

  KiongoziwaUjumbewa Chama cha Ukombozi wa Kipalestina Taysear Ishled akiagana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif baada ya kumaliza mazungumzo yao. Makamu wa Pili wa Raiswa Zanzibar...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

The Darkness.

The Darkness If only it were so simple, to cruise through life smelling roses; but the obstacles blacken the country side,  and we unwittingly crush them beneath our boots. Dreams sustain us through...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kampuni ya Steps Entertainment yanogesha Tuzo za Bongo Movie.

 Pazia la Tuzo za Steps Bongo Movie Awards 2012-2013 lilizinduliwa na Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Profesa Makame Mbarawa. Mkurugenzi wa Kampuni ya Steps Dilesh Solanki akimkabizi tuzo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Former President Mbeki to chair high level talks on illicit financial flows.

The former President of South Africa, Mr. Thabo Mbeki will chair a two day High Level Meeting on illicit financial flows in Lusaka, Zambia on 17th and 18th June, 2013. The High Level Panel (HLP) on...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kutoka Baraza la Wawakilishi Zanzibar.

Waziri waNchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais  Mohd Aboud Mohd kulia akibadilishana mawazo na Waziri wa Afya Juma Duni Haji nje ya Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi mbweni nje ya mji wa Zanzibar....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Maadhimisho ya siku ya Damu Salama Duniani mkoani Mara yafana.

Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa jamii Mh.Seif Rashidi akikaribishwa na meneja waTigo kanda ya ziwa bw. Joseph Mutalemwa kwenye maadhimisho ya siku ya damu salama wilayani Musoma. Naibu Waziri wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Zuma wa Afrika Kusini asema Mzee Mandela anaendelea vizuri na matibabu.

  Rais  wa  zamani  wa  Afrika  kusini  Nelson Mandela anasemekana  kuwa  hali  yake  inaendelea  vizuri  baada ya  kulazwa hospitali  kwa  muda  wa  siku  tisa  sasa. Rais Jacob Zuma  amesema  kuwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Members of the Kardashian family break the official silence following the...

 The birth of Kim Kardashian and Kanye West’s baby girl has been welcomed by the reality television star’s family. No official comment has been released by the couple since reports of the birth...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mamlaka ya mapato Tanzania –TRA mkoa wa Singida yakusanya mapato ya zaidi ya...

Afisa habari wa TRA mkoa wa Singida Bw. Zacharia Gwagilo akitoa mada yake iliyohusu matumizi ya mashine za kodi (EFDs) kwa wafanyabiashara wasiosajiliwa na VAT  kwenye semina iliyofanyika kwenye...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Czech kujiuzulu.

 Waziri Mkuu  wa  Jamhuri  ya  Czec  Petr  Necas, ametangaza  kuwa   atajiuzulu  wadhfahuo hii leo. Necas amekuwa akishinikizwa ajiuzulu  tangu  pale  Mnadhimu  Mkuu  wa  serikali Jana Nagyova,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Nape: Chadema ni Wahutuhumiwa namba moja.

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza  na waandishi wa habari leo mjini Dodoma. Itakumbukwa tarehe 16/06/2013 ilikuwa ni siku ya uchaguzi mdogo wa madiwani kwa baadhi ya kata nchini....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Makamu wa Rais Dkt. Bilal awajulia hali majeruhi wa bomu la Arusha.

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akionyeshwa picha ya X-Ray, ya mmoja kati ya majeruhi waliolazwa kwenye Hospitali ya Mount Meru, Joseph Anthony, mkazi...

View Article
Browsing all 1758 articles
Browse latest View live