Quantcast
Channel: MO BLOG » Admin
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1758

Maadhimisho ya siku ya Damu Salama Duniani mkoani Mara yafana.

$
0
0

Mh.Seif Rashid na bw. Joseph Mutalemwa (2)

Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa jamii Mh.Seif Rashidi akikaribishwa na meneja waTigo kanda ya ziwa bw. Joseph Mutalemwa kwenye maadhimisho ya siku ya damu salama wilayani Musoma.

Mh.Seif Rashid

Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa jamii Mh.Seif Rashidi akisaini kitabu cha kukaribishwa kwenye maadhimisho ya siku ya damu salama wilayani Musoma.

Matembezi

Wanafunzi wa shule za Mwisenge, Mtakuja na Kamnyonge Manispaa ya wilaya ya Musoma wakiwa kwenye maandamano ya maadhimisho ya siku ya damu salama duniani, Kampuni ya simu za mkononi Tigo walikuwa wadhamini wa mpango huo.

Walimu

Walimu wa wa shule za Mwisenge, Mtakuja na Kamnyonge Manispaa ya wilaya ya Musoma wakisubiri kutoa damu kwenye maadhimisho ya siku ya kuchangia damu salama yaliyofanyika mwishoni mwa wiki wilayani Musoma mkoani Mara, Mpango huo ulidhaminiwa na kampuni ya simu za mkononi Tigo.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 1758

Trending Articles