Quantcast
Channel: MO BLOG » Admin
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1758

Kutoka Baraza la Wawakilishi Zanzibar.

$
0
0

DSC_0668

Waziri waNchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais  Mohd Aboud Mohd kulia akibadilishana mawazo na Waziri wa Afya Juma Duni Haji nje ya Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi mbweni nje ya mji wa Zanzibar.

DSC_0671

Muakilishi wa Jimbo La Mji Mkongwe Ismail Jussa Ladhu wakwanza kushoto wakibadilishana mawazo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala bora Haji Omar Kheir katikati na Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Zanzibar Othman Masoud Othman katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi mbweni nje ya mji wa Zanzibar.

DSC_0673

Muakilishi wa Jimbo la Uzini Mohd Raza akisisitiza jambo kwa Naibu Waziri wa Thuwaiba Edington Kisasi wamwanzo kushoto na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora Haji Omar Kheir wa mwanzo kulia katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Mbweni nje ya mji wa Zanzibar.(PICHA NA YUSSUF SIMAI- HABARI MAELEZO ZANZIBAR).  

Viewing all articles
Browse latest Browse all 1758

Trending Articles