Mshindi wa droo ya tano wa promosheni ya Tigo ‘Miliki Biashara Yako’ Bw. Furaha Kitigi akishuka kutoka kukagua Bajaji aliyokabidhiwa na Meneja Usambazaji wa Bidhaa kutoka Tigo Bw. Suleiman Bushangama (kulia) katika hafla iliyofanyika Tandika sokoni, Dar es Salaam.
Mshindi wa droo ya tano wa promosheni yaTigo ‘Miliki Biashara Yako’ Bw. Furaha Kitigi akipungia kutoka kwenye Bajaji yake mpya kabisa mara baada ya kukabidhiwa na Meneja Usambazaji wa Bidhaa kutoka Tigo Bw. Suleiman Bushangama (kulia) katika hafla iliyofanyika Tandika sokoni, Dar es Salaam.
Meneja Bidhaa wa Tigo Bw. Husni Seif (kulia) akimkabidhi ufunguo wa Bajaji mshindi wa droo ya tano wa promosheni ya Tigo ‘Miliki Biashara Yako’ Bi. Happiness Simon katika hafla iliyofanyika Tandika sokoni, Dar es Salaam.
Mshindi wa droo ya tano wa promosheni ya Tigo ‘Miliki Biashara Yako’ Bi. Happiness Simon akionyeshea ufunguo wake wa Bajaji mpya yenye thamani ya Tsh 6,700,000 aliyokabidhiwa katika hafla iliyofanyika Tandika sokoni, Dar es Salaam. Akishuhudia ni Meneja Bidhaa wa Tigo Bw. Husni Seif.
Mshindi wa droo ya tano wa promosheni ya Tigo ‘Miliki Biashara Yako’ Bw. Mussa Selemani Mussa (kushoto) akipokea ufunguo wake wa Bajaji kwa furaha kutoka kwa Meneja Bidhaa wa Tigo Bw. Husni Seif .
Meneja Bidhaa wa Tigo Bw. Husni Seif (kushoto) akimkabidhi ufunguo wa Bajaji mpya kabisa mshindi wa droo ya tano wa promosheni ya Tigo ‘Miliki Biashara Yako’ Bw. Joseph Okanda katika hafla iliyofanyika Tandika sokoni, Dar es Salaam.
Meneja Bidhaa wa Tigo Bw. Husni Seif (kushoto) akimkabidhi ufunguo wa Bajaji mpya kabisa mshindi wa droo ya tano wa promosheni ya Tigo ‘Miliki Biashara Yako’ Bw. Bw. Michael Shem Mtenzi katika hafla iliyofanyika Tandika sokoni, Dar es Salaam.
Meneja Bidhaa wa Tigo Bw. Husni Seif (kushoto) akishuhudia mshindi wa droo ya tano wa promosheni ya Tigo ‘Miliki Biashara Yako’ Bw. Mubaraka Mguti akijaribu kwa mara ya kwanza kuwasha Bajaji aliyoshinda katika makabidhiano katika hafla iliyofanyika Tandika sokoni, Dar es Salaam.
Meneja Usambazaji wa Bidhaa kutoka Tigo Bw. Suleiman Bushangama (wanne kushoto) akifuatana na Meneja Bidhaa wa Tigo Bw. Husni Seif katika picha ya pamoja na washindi wa droo ya tano wa promosheni ya Tigo ‘Miliki Biashara Yako’.
Meneja Usambazaji wa Bidhaa kutoka Tigo Bw. Suleiman Bushangama akizungumza na waandishi wa habari wakati wa hafla ya makabidhiano ya Bajaji kwa washindi wa promosheni ya Tigo ‘Miliki Biashara Yako’ iliyofanyika Tandika sokoni, Dar es Salaam.