UNIC yawataka vijana kujitambua mapema ili kujenga taifa litakalokuwa na...
Afisa Habari wa Kituo cha Habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC) Bi. Usia Nkhoma Ledama akizungumza na Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari Nyampulukano ya Wilayani Sengerema Mwl. Vedastus Mlokozi wakati...
View ArticleLigi Kuu ya Vodacom kutimua vumbu hapo kesho wakati tiketi za elektroni...
Michuano ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) msimu wa 2013/2014 inaanza kutimua vumbi kesho katika viwanja saba tofauti huku mabingwa watetezi Yanga wakianza kutetea ubingwa wao kwa kuikaribisha Ashanti...
View ArticleWakala wa Ukaguzi wa Madini TMAA waiwezesha serikali kukusanya mapato ya Shs....
Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa TMAA Bruno Mteta akitoa taarifa kwa waandishi wa habari jinsi wakala wa ukaguzi wa madini Tanzania ulivyoiwezesha serikali kukusanya mapato kutoka katika sekta ya...
View ArticleNida waanza mchakato wa kuchukua alama za vidole na picha kwa ajili ya...
Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na hifadhi hati cha NIDA Bw. Thomas William wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu idadi ya watu watakaochuliwa alama za vidole, ambapo amesema watu milioni...
View ArticleChokochoko bado zaendelea huku Rwanda ikiituhumu Kongo kwa kufyetua kombora...
Msemaji wa Jeshi la Rwanda Joseph Nzabamwita. Jeshi la Rwanda limeituhumu nchi jirani ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kwa kufyetua makusudi roketi kwenye eneo la mpaka. Msemaji wa jeshi la Rwanda...
View ArticleRais Putin wa Russia awamkali apiga marufuku maandamano wakati wa michezo ya...
Rais Vladimir Putin wa Russia amepiga marufuku maandamano wakati wa michezo ya Olimpiki ya msimu wa majira ya baridi kwa mwaka ujao wa 2014. Katika kufanikisha utekelezaji wa amri hiyo, watu...
View ArticleTamasha la Serengeti Fiesta 2013 mkoani Singida.
Msanii machachari wa muziki wa bongofleva/filamu Shilole akiimba huku akiwa amebebwa na shabiki wake,huku shangwe na miluzi za mashabiki zikiwa zimetawala kila kona. Baadhi ya mashabiki...
View ArticleMapato katika halmashauri ya Singida yaporomoka kwa sababu mbalimbali ikiwemo...
Makamu Meya wa manispaa ya Singida na Diwani wa kata ya Mungumaji Bw. Hassan Mkata (kushoto) akiongoza kikao cha Baraza la Madiwani.Kulia ni kaimu mkurugenzi wa manispaa ya Singida. Diwani wa kata ya...
View ArticleAfrica Magic Entertainment brings viewers KONA!
KONA is a East African Telenovela where glitz and glamour meets grit and sweat; love and family confront betrayal and solitude; success and triumph are pitted against failure and desperation. In a...
View ArticleVacancy Announcement – Brand Executive.
Vacancy Announcement – Brand Executive by dewjiblog
View ArticleTFF yazuia usajili wa jumla ya wachezaji 37 wa klabu za Ligi Kuu ya Vodacom...
Msemaji wa TFF nchini Boniface Wambura. Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imezuia usajili wa wachezaji 37 wa klabu za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL)...
View ArticleMtoto mmoja katika kila watoto 10 wenye umri wa miaka mitano anamiliki simu...
Kwa wastan nchini Uingereza watoto hukabidhiwa simu kwa mara ya kwanza wakiwa na umri wa miaka 11, ambapo ni kipindi ambacho ameingia shule. Takriban mmoja kati ya kila watoto 10 anamiliki simu ya...
View ArticleGENN Redio Inawaletea kipindi Kipya cha ”Bongo Views” kutoka kwa Wtanzania...
Global Entertainment and News Network (GENN) iliyopo Kansas City nchini Marekani, inawaletea kipindi kipya cha BONGO VIEWS kitakacho endeshwa LIVE kila Jumamosi midaa ya Saa 5 PM za Marekani ya kati...
View ArticleSikiliza kwa makini Miaka 50 ya “March On Washington”. Mahojiano na Profesa...
Ni nusu karne sasa tangu kufanyika kwa maandamano makubwa sana ya kudai haki za watu weusi, yaliyofanyika August 28, 1963 katika jiji la Washington hapa nchini Marekani. Prof. John Innis Mtembezi...
View ArticleFearless female highliners perform jaw-dropping moves 3,300 feet above...
Being a thousand feet up the air, balancing on a thin wire does not stop these fearless females from performing ankle balances, squats and even the splits in front of the camera. Professional...
View ArticleKamati Kuu ya CCM yatengua kufukuzwa Uanachama Madiwani Wanane Halmashauri ya...
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM Itikadi na Uenezi Nape Nnauye. Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa imejadili na kutolea maamuzi pamoja na mambo mengine suala la Madiwani wanane waliotangazwa...
View ArticleWatendaji Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto wapewa mafunzo ya Bajeti...
Mkurugenzi wa Mashirika yasio ya Kiserikali toka Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Bw.Marcel Katemba akisoma hotuba ya Katibu Mkuu. Mkurugenzi wa Mashirika yasio ya Kiserikali toka...
View ArticleEdibily Lunyamila alonga na Vijimambo.
Edibily Lunyamila mchezaji aliyewika enzi hizo alonga na Vijimambo akiezelezea maisha ya mpira baada ya kustaafu na changamoto gani wanazokumbana nazo na kitu gani kifanyike ili kukuza Soka la...
View Article