Mtemvu awandalia msosi marafiki zake kutoka Chuo Kikuu cha Buffalo Marekani
Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu (kushoto) na Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Buffalo cha Marekani, Tyler Choi wakati wa hafla ya chakula cha usiki alichowaandalia marafiki zake hao jana kwenye...
View ArticleKampuni ya Issere Sports yazawadiwa vyeti vya utendaji bora kwenye michezo
Naibu Waziri wa Habari Utamaduni na Michezo, Amos Makala ambaye kwa sasa amehamishiwa Wizara ya Maji kama Naibu Waziri akimkabidhi vyeti vya utendaji bora wa huduma za michezo Mkurugenzi wa Masoko...
View ArticleSemina ya Wafanyabiashara na kampuni ya China World Buz yamalizika leo Trple...
Meneja Mkuu wa kampuni hiyo nchini China Justin Luvanda akizungumza na wafanya biashara wadogo na wakati kwenye ukumbi wa Triple A jijini Arusha wakati wa Semina ya siku mbili kwa wafanya biashara hao...
View ArticleUVCCM Singida yavuna wanachama wapya 248
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa -Sadifa Juma Khamis. Mwenyekiti wa jumuiya ya umoja wa vijana CCM (UVCCM) wilaya ya Singida mjini,Ibrahimu Ramadhani akizumgumza kwenye mkutano wa wanachama wa CCM wa tawi...
View ArticleJK afungua Kongamano la viongozi wa dini kuhusu matumizi ya Gesi asilia,...
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na baadhi ya viongozi wa madhehebu mbalimbali ya Dini waliohudhuria Kongamano la siku mbili linalohusu Rasilimali za Gesi Asilia, Mafuta na Madini kwa Amani na...
View ArticleMamia washiriki mazishi ya Mama wa Mzee Makamba
Mzee Yusufu Makamba akishauriana jambo na mwanae January Makamba wakati wa shughuli za mazishi zikiendelea. Mzee Yusufu Makamba amefiwa na mama yake mzazi aliyefahamika kama Mariam Masau Kivugo...
View ArticleTuzo za PSPF Boxing Awards zazidi kuhamasishwa
Bondia Antony Edowa (kushoto) akipambana na Gervas Regasiano wakati wa mchezo wao kwa ajili ya kuhamasisha tuzo za PSPF Tanzania Boxing Awards zilizofanyika nje ya uwanja wa Karume karibu na soko la...
View ArticleCCM: Rais hakuwa na haja kuwaondoa Mawaziri Mizigo bali kurekebisha mapungufu...
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na waandihi wa habari katika Ukumbi wa Sekretarieti ,Makao Makuu ya CCM Ofisi Ndogo Lumumba. Mara baada ya kuundwa kwa Sekretarieti ya...
View ArticleMh. Lowassa amfariji Mzee Makamba aliefiwa na Mama yake mzazi
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa (kushoto) akimsikiliza Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM,Mzee Yusuph Makamba (wa pili kushoto) wakati alipokuwa akimtambulisha dada...
View ArticleJK awasili Davos, Uswisi kuhudhuria Mkutano wa Mwaka 2014 wa Taasisi ya...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amewasili Davos,Uswisi, jioni ya Jumatano, Januari...
View ArticleMatengenezo Daraja la Mkundi yaanza, Waziri Magufuli aelekeza kazi kufanyika...
Mitambo ikiwa kazini. Kazi za ujenzi zikiendelea. : Waziri wa Ujenzi Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa anafuatilia kazi katika moja ya mitambo ya barabara. Waziri wa Ujenzi Mhe. Dkt. John Pombe...
View ArticleMakabidhiano ya Ofisi kati ya Waziri Dkt. Mwinyi na Dkt. Seif
Aliyekuwa Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii na sasa ni Waziri wa Ulinzi na jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Hussein Mwinyi (kushoto) akizungumza na watendaji wa wizara hiyo (hawapo pichani) wakati wa...
View ArticleWatu wasiofahamika wamnyang’anya bunduki Mzee wa miaka 71
Kamanda wa Polisi, mkoa wa Singida, SACP Geofrey Kamwela akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) ofisini kwake. Na Nathaniel Limu, Singida WATU wasiofahamika idadi na makazi yao,wamevamia...
View ArticleUganda to deport Briton charged over gay sex
Homosexuality is illegal in Uganda [File: EPA]. Bernard Randall’s lawyers say prosecutors are using expired visa as excuse to deport him after case is dropped. A Ugandan court has ordered the...
View ArticleShughuli mbalimbali za Rais Kikwete akiwa Davos, Uswisi
Rais Jakaya Kikwete akihutubia wakati wa mkutano wa kujadili namna ya kuongeza kasi ya uboreshaji wa kilimo uliofanyika Davos Uswisi usiku wa kuamkia leo Januari 23, 2014. Rais Jakaya Mrisho Kikwete...
View ArticleWaziri Mkuu Mizengo Pinda azungumzia mafuriko yaliyotokea Morogoro
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mizengo Pinda akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo ofisini kwake jijijni Dar es Salaam mara baada ya kurudi kutoka Mkoa wa Morogoro...
View ArticleChelsea Reach Agreement For Egyptian Winger, Mohammed Salah
Chelsea have confirmed that they have reached an agreement with FC Basel of Switzerland for Egyptian winger, Mohammed Salah. The deal is subject to personal terms with the winger, and subject to...
View ArticleHabari mbaya kwa walaji wa Kitimoto: Huenda wengi wao wakaja kupata kifafa!...
Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kimehadharisha walaji wa nyama ya nguruwe nchini, kuwa wanakabiliwa na hatari ya kupata kifafa. Utafiti wa kisayansi uliofanywa na SUA, umebaini kuwa baadhi ya...
View Article