Nyalandu apongezwa na wapiga kura wake
Waziri Maliasili na Utalii, Mh. Lazaro Nyalandu akisalimiana na mwenyekiti mstaafu wa CCM wilaya ya Singida, Swalehe Msuri katika viwanja vya Mtinko jimbo la Singida Kaskazini.Waziri Nyalandu alikuwa...
View ArticleMuendelezo wa ziara ya Waziri Mkuu Lindi na Mtwara
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mizengo Pinda akizindua na kuweka jiwe la msingi la kiwanda cha saruji cha MEIS eneo la Machole mkoani. Sehemu iliyoandaliwa kitakapojengwa kiwanda cha...
View ArticleTrust Is Everything
Here are some pictures which shows the height of trust. These pictures become possible only due to trust.
View ArticleMabondia wapima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa Jumapili ya Januari 26...
Bondia Muss Chitepete (kushoto) akitunishiana misuli na Ramadhani Shauli wakati wa upimaji wa uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika Jumapili ya January 26 katika ukumbi wa Friends Corner...
View ArticleLoyola Sekondari yaadhimisha siku ya Mtoto wa Kike
Sehemu ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Loyola wakiwa katika maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Kike Shuleni hapo. Baadhi ya wageni waalikwa wakiwa pamoja na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya...
View ArticleMohamed Chimsala (Danny) (Mudi Trafiki) amefariki leo katika Hospitali ya...
Marehemu Mohamed Chimsala (Danny) Enzi za uhai wake. Familia ya Kanal Chimsala wa Jeshi la wananchi Tanzania anaeishi Masaki Dar es salaam anasikitika kutangaza kifo cha mdogo wake Mohamed Chimsala...
View ArticleJumuiya ya Maendeleo ya Uvuvi wa Kojani (KOFDO) wakishirikiana na The...
Afisa Mipango Wilaya Kusini Unguja Bw. Faida Khamis Ali akifungua mafunzo ya siku tatu juu ya uelimishaji wa sheria ya uvuvi kwa wakuu wa madiko na wavuvi,katika skuli ya kitogani Kusini Unguja...
View ArticleOperesheni M4C Pamoja Daima yaingia Mbeya
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa akihutubia mkutano wa hadhara wa Operesheni M4C Pamoja Daima, uliofanyika kwenye Uwanja wa Rwanda Nzovwe jana. Mbunge wa...
View ArticleRais Kikwete alipohudhuria hafla ya chakula cha usiku kilichoandaliwa na...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Profesa Jeffrey Sachs usiku wa juzi, Jumatano, Januari 22, 2014, wakati wa mjadala kuhusu jinsi ya kuongeza kasi ya mafanikio katika kilimo cha Afrika kwenye...
View ArticleAskari Polisi, viongozi wa tarafa watakiwa kushirikiana
Mkaguzi Msaidizi wa Polisi ambaye ni Polisi Tarafa wa Muklati Elibariki Kileo akitoa taarifa kwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Liberatus Sabas wakati...
View ArticleFive undeniable Facts of Life
1. Don’t educate your children to be rich. Educate them to be Happy. So when they grow up they will know the value of things not the price. 2. Best awarded words in London … “Eat your food as your...
View ArticleViwanda vya Ngozi, Mafuta vyakamilika Shinyanga
Kiwanda cha ngozi kilichopo manispaa ya Shinyanga ambacho kimekamilika na kazi ya kujaribisha mitambo inaendelea. Mkuu wa Mkoa Mhe. Ally N.Rufunga akipata maelezo ya maendeleo ya kiwanda hicho...
View ArticleDk. Shein kumnadi Mgombea Uwakilishi Jimbo la Kiembesamaki
Na Andrew Chale, Zanzibar MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambaye pia ni Rais wa Serikali ya Mapinduzi, Dk. Ali Mohammed Shein leo Jumapili Januari 26, anatarajiwa kumnadi...
View ArticleWaziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Asha- Rose Migiro atembelea Tume ya...
Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Asha-Rose Migiro (kushoto) akipokea nakala za ripoti za Tume ya Mabadiliko ya Katiba ikiwemo Rasimu ya Katiba kutoka kwa Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji Joseph Warioba...
View ArticleMakamu wa Rais Dkt. Bilal aongoza Harambee ya Ujenzi wa Ukumbi wa Mikutano wa...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa, wakati alipowasili kwenye Kanisa la Mtakatifu Peter...
View ArticlePlus Size Clothing Sasa zinapatikana Zurii Fashion Boutique. Karibuni Sana.
Wale wateja wetu wa Plus Size tumesikia kilio chenu na sasa Zurii Fashion & Beauty Boutique kuna Stock Mpya kwa ajili yenu Plus Size ladies (wale mlio jaliwa neema hahaha). Size 14-20 sasa...
View ArticleMwenyekiti wa Chadema Taifa na Makamu wake waunguruma mkoani Kagera
Mwenyekiti Taifa Freeman Mbowe na Makamu wake, Said Issa Mohamed wakishambulia jukwaa Ngara mkoani Kagera.
View ArticleWaziri Mkuu Pinda aendelea na ziara yake Mtwara
Mhandisi wa mradi wa kiwanda cha kuchakata gesi asili kilichopo katika eneo la Madimba kinachosimamiwa na Shirika la Maendeleo na Petroli Tanzania (TPDC) Sultan Pwaga akitoa maelekezo kwa Waziri Mkuu...
View Article