Bondia Antony Edowa (kushoto) akipambana na Gervas Regasiano wakati wa mchezo wao kwa ajili ya kuhamasisha tuzo za PSPF Tanzania Boxing Awards zilizofanyika nje ya uwanja wa Karume karibu na soko la mitumba Mchikichini Regasiano alishinda kwa point mchezo huo (Picha na www.superdboxingcoac.blogspot.com)
Baadhi Ya Viongozi Wa Tuzo Za Pspf Tanzania Boxing Awards Wakifatilia Mchezo Wa Wazi Uliofanyika Nje Ya Uwanja Wa Karume Karibu Na Soko La Mitumba Mchikichini Kwa Ajili Ya Kuhamasisha Tuzo Hizo Zinazofikia Kilele Chake January 25 Katika Ukumbi Wa PTA Sabasaba.
Bondia Antony Edowa (kushoto) akipambana na Gervas Regasiano wakati wa mchezo wao kwa ajili ya kuhamasisha tuzo za PSPF Tanzania Boxing Awards zilizofanyika nje ya uwanja wa Karume karibu na soko la mitumba Mchikichini Regasiano alishinda kwa point mchezo huo.
Bondia Gervas Regasiano akinyooshwa mkono juu kuashiria ushindi wake baada ya kumtwanga Antony Edowa.