Rais Jakaya Kikwete akihutubia wakati wa mkutano wa kujadili namna ya kuongeza kasi ya uboreshaji wa kilimo uliofanyika Davos Uswisi usiku wa kuamkia leo Januari 23, 2014.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Naibu Waziri Mkuu wa Uingereza Mhe. Niuck Clegg walipoikutana na kufanya mazungumzo katika hoteli ya Sheraton Davos, Uswisi leo.
Rais Jakaya Mrisho Kiwete alipokutana na kufanya mazungumzo na Mwenyekiti na Mtendaji Mkuu wa kampuni ya JETRO ya Japan katika hoteli ta Sheraton Davos, Uswisi, leo.
Picha juu na chini ni Rais Jakaya Mrisho Kikwete akutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Shirika la Maendeleo ya Kimataifa ya Marekani (USAID) Mhe Rajiv Shah katika ukumbi wa mikutano wa Davos, Uswisi leo.
Rais Jakaya Kikwete akishangiliwa baada ya kuhutubia wakati wa mkutano wa kujadili namna ya kuongeza kasi ya uboreshaji wa kupatikana na kulinda maji na salama kwa miaka ijayo katika hoteli ya Derby huku Davos Uswisi leo. (PICHA NA IKULU).