Kijana aliyeua akimuokoa mama yake asibakwe aachiwa huru na mahakama kuu...
Mahakama kuu Kanda ya Dodoma inaendelea na vikao vyake mjini Singida, imemwachia huru kijana Elikana Selemani (28) mkazi wa kijiji cha Sefunga wilaya ya Singida vijijini, baada ya kukiri kosa la...
View ArticleHow to know your phone is a China Phone
1. It gets full after 3 minutes of charging 2. The phone has TV, Touch screen, Nail cutter, firelighter etc. 3. Text message can be written with a toothpick. 4. There are some spelling mistakes e.g...
View ArticleMhe. Balozi Liberata Mulamula atembelewa na Balozi wa Zamani wa Marekani...
Mhe.Balozi Liberata Mulamula, Balozi wa Jamhuri ya Muungano waTanzania nchini Marekani na Mexico akiwa katika picha ya pamoja na Mhe.Charles Stith,Balozi wa zamani wa Marekani nchini...
View ArticleWaziri Nchimbi, Balozi wa Marekani wazindua Mitambo ya Mawasiliano ya Kikosi...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk. Emmanuel Nchimbi (kushoto) na Balozi wa Marekani nchini, Alfonso Lenhardt wakikata utepe kuzindua rasmi mitambo ya redio za mawasiliano katika Vituo vya Wanamaji...
View ArticleBlack Eyed Peas’ Fergie gives birth to son
The Black Eyed Peas vocalist Fergie has become a mother, giving birth to her first child with husband Josh Duhamel. A representative for the singer says the couple’s son Axl Jack Duhamel was born...
View ArticleAzam TV kuonyesha mechi za Ligi Kuu ya Tanzania Bara moja kwa moja kwenye...
Afisa Mtendaji Mkuu wa Azam Media Ltd Rhys Torrington akitia saini mkata wa kuonyesha Ligi Kuu ya Tanzania Bara moja kwa moja kupitia Azam TV. Katikati ni Makamu rais wa Shirikisho la Soka Tanzania...
View ArticleMzee Nelson Mandela arejea nyumbani kutoka hospitali alikokuwa amelazwa.
Rais wa zamani wa Afrika Kusini Mzee Nelson Mandela amerejea nyumbani kwake mjini Johannesburg kimya kimya baada ya kulazwa hospitali mjini Pretoria kwa muda mrefu. Mandela mwenye umri wa miaka 95...
View ArticleMajeshi ya serikali ya Kongo yafanikiwa kudhibiti ngome ya waasi wa M23...
Majeshi ya serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo yamedhibiti maeneo ya vilima vilivyopo karibu na mji wa Goma Mashariki mwa nchi hiyo, baada ya wapiganaji wa kundi la waasi wa M23 kuondoka eneo...
View ArticleBayern Munich yaibuka mabingwa wa michuano ya UEFA Super Cup baada ya...
Timu ya Bayern Munich ya Ujerumani imefanikiwa kutwaa ubingwa wa kombe la UEFA Super Cup baada ya kuitandika Chelsea ya Uingereza kwa mabao 5-4 kupitia mikwaju ya penati, baada ya kutoka sare ya mabao...
View ArticleClint Eastwood splits with his wife Dina after 17 years of marriage.
Clint Eastwood has split from his wife after 17 years of marriage. The Hollywood legend’s second wife, 48-year-old Dina Eastwood, revealed the separation and said the pair had been living apart for...
View ArticleSerengeti Breweries kupitia Baileys wadhamini NECHA Fashion Show Dar.
Picha mbalimbali za maonesho ya mavazi katika uzinduzi wa maonesho ya mavazi ya NECHA yaliyodhaminiwa na Kampuni ya Bia ya Serengeti Ltd (SBL), kupitia kinywaji chake cha BAILEYS yaliyofanyika...
View ArticleWaziri Dk. Nchimbi akutana na Watendaji Wakuu wa Jeshi la Polisi Makao Makuu...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi akizungumza na Watendaji Wakuu wa Jeshi la Polisi Makao Makuu pamoja na Kanda Maalumu ya Dar es Saalam ofisini kwake jijini Dar es Salaam. Kushoto...
View ArticlePinda atunuku vyeti na Diploma kwa Wahitimu wa Chuo cha Nyuki Tabora.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamisi Kagasheki (wa pili kulia), Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji na Uwezeshaji, Dr. Mary Nagu (kulia), Mkuu wa Mko a wa...
View ArticleWajumbe Baraza kuu UVCCM kutoka Tanzania Bara wawasili Zanzibar kushiriki...
Bandari ya Zanzibar Baadhi ya wajumbe wa Baraza Kuu ya UVCCM ambao wamechanganyika na abiria wengine, wakiwa kwenye gati baada ya kushuka katika boti jana jioni. Baadhi ya wajumbe wa Baraza Kuu la...
View ArticleSerikali 3; Kingunge anaangalia miaka 50 nyuma, JK anaangalia miaka 50 mbele..!
Ndugu zangu, Ndugu Kingunge Ngombale Mwiru ni mmoja wa wanasiasa ninaowaheshimu sana. Nimemsikia Kingunge tangu nikiwa na miaka saba. Lakini, kama ilivyokuwa kwa Mwalimu Nyerere, hakuwa malaika,...
View ArticleMakamu Mwenyekiti wa Chama cha CNDD-FDD cha Burundi awasili Tanzania
Mjumbe wa NEC Ndg. Phares Magesa akizungumza na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha CNDD-FDD cha Burundi Ndg. Burikukiye Victor katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere mara baada ya kumpokea.
View ArticleWatumishi wa Idara ya Wakimbizi wamuaga rasmi aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara...
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya Wakimbizi, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Judith Mtawali (kulia) ambaye amestaafu rasmi kwa mujibu wa sheria ya Utumishi wa Umma akikata keki wakati wa sherehe...
View Articlewakazi wa Mtwara waipokea kwa shangwe Semina ya fursa kwa Vijana
Meneja Kiongozi,Uhusiano NSSF Makao makuu jijini Dar, Eunice Chiume akizungumza mapema kwenye semina ya FURSA iliyofanyika kwenye ukumbi wa Pentecoste Ligula B,uliopo mkabala na Kituo cha Vijana...
View ArticleBaraza kuu UVCCM lamuidhinisha Sixtus Mapunda kuwa Katibu Mkuu Mpya UVCCM
Makamu wa Pili wa Rais, Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi, akifungua Mkutano maalum wa Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM, Kisiwandui mjini Zanzibar. Wengine...
View ArticleShule yazuia Wanafunzi wake kufanya Mitihani kwa kutolipa michango
Picha hii haihusiani na habari iliyoandikwa hapo chini. (Picha na Maktaba). Shinyanga, Tanzania Katika hali isiyokuwa ya kawaida robo tatu ya wanafunzi katika shule ya sekondari Uhuru iliyopo katika...
View Article