$ 0 0 Mjumbe wa NEC Ndg. Phares Magesa akizungumza na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha CNDD-FDD cha Burundi Ndg. Burikukiye Victor katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere mara baada ya kumpokea.