Quantcast
Channel: MO BLOG » Admin
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1758

Waziri Dk. Nchimbi akutana na Watendaji Wakuu wa Jeshi la Polisi Makao Makuu pamoja na Kanda Maalumu ya Dar es Saalam

$
0
0

PIX 1

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi akizungumza na Watendaji Wakuu wa Jeshi la Polisi Makao Makuu pamoja na Kanda Maalumu ya Dar es Saalam ofisini kwake jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Kamishna wa Utawala, Rasilimali na Fedha wa Jeshi la Polisi, Clodwing Mtweve. (Picha na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi). 

PIX 2

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi akizungumza na Watendaji Wakuu wa Jeshi la Polisi Makao Makuu pamoja na Kanda Maalumu ya Dar es Saalam ofisini kwake jijini Dar es Salaam. Wa pili kutoka kushoto ni Kamishna wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam (CP) Suleiman Kova. (Picha na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi).


Viewing all articles
Browse latest Browse all 1758

Trending Articles