Watoto na pakiti za Viroba vya Pombe kali..!
Watoto wakazi wa kata ya Ipembe manispaa ya Singida, wakichezea pakiti za viroba vya pombe kali aina mbalimbali vilivyonywewa na watumiaji kama walivyokutwa na mpiga picha wetu. Pakaiti hizo za...
View ArticleSMZ na Kampuni ya Royal Dutch Shell zatiliana saini makubaliano ya uwekezaji...
Waziri wa Ardhi, Nyumba, Maji na Nishati wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mh. Ramadhani Abdalla Shaaban akibadilishana Waraka wa makubaliano na Mwenyekiti wa Shell Deepwater Tanzania Bw. Axel...
View ArticleMansour akataa kwenda Mahakamani kupinga uamuzi wa kufukuzwa CCM
Mwenyekiti wa kamati ya Maridhiano Mzee Hassan Nassoro Moyo akifafanua kitu katika Kongamano lililofanyika ukumbi wa Salama hoteli ya Bwawani Mjini Zanzibar.(Picha na Makame Mshenga-Maelezo...
View ArticlePinda afungua Mkutano wa mwaka wa SADCOPAC jijini Arusha leo
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizindua Kitabu cha Miaka 10 ya Kamati za Bunge za Hesabu za Serikali kwa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika(SADCOPAC) baada ya Kufungua...
View ArticleLAPF kutumia Bilioni 35 Ujenzi wa Kituo cha mabasi Msamvu
Meneja wa Kanda ya Mashariki kutoka Mfuko wa Pensheni wa LAPF Sayi Lulyalya(katikati) akieleza kwa waandishi wa habari kuhusu Mafao na Miradi mbalimbali inayotekelezwa na mfuko huo,wakati wa mkutano...
View ArticleBalozi Seif Iddi aongoza mazishi ya Meja Mshindo aliyefariki DRC Congo
Wapiganaji wa Jeshi la Wananachi wa Tanzania { JWTZ } wakitoa salamu zao za mwisho wakati wa mazishi ya kamanda wao Meja Khatibu Shaaban Mshindo yaliyofanyika kijijini kwake Mangapwani. Meja Khatib...
View ArticleMiss Tanzania 2012 Brigitte Alfred aondoka leo kwenda kambi ya Miss World...
Mwakilishi wa Tanzania katika mashindano ya Urembo ya Dunia, Miss Tanzania 2012, Brigitte Alfred Lymo, ameondoka nchini leo kwenda nchini Indosia katika kambi ya Miss World 2013. Pichani juu ni...
View ArticleDk Alberic Kacou afungua warsha kwa waratibu wakazi Mashariki na Kusini mwa...
Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini Dk. Alberic Kacou akifungua warsha siku tano kwa Waratibu Wakazi wa Umoja wa Mataifa katika nchi za Mashariki na Kusini mwa Jangwa la Sahara Afrika...
View ArticleMembe delivers SADC’s Final Report on the Zimbabwe’s Elections
Mr. Robert Kahendaguza, the Acting Director of the Department of Regional Cooperation in the Ministry of Foreign Affairs welcomes Hon. Minister Bernard K. Membe (MP), Minister for Foreign Affairs and...
View ArticleLigi ya Mbunge wa jimbo la Singida Mjini “Mo Cup” yaanza kurindima mkoani...
Timu za za soka za kata ya Mitunduruni na Utemini zikiingia uwanjani namfua kufungua pazia la ligi ya kombe la mbunge wa jimbo la Singida mjini,Mohammed Gullam Dewji (MO Cup). Wachezaji wa timu za...
View ArticleAma kweli Pombe si Chai!
Vijana wawili wakazi wa manispaa ya Singida ambao hawakuweza kupatikana majina yao mara moja, wakiwa wamelala (saa nane mchana) kwa kile kilichodaiwa ni kutokana na kulewa kupitiliza. Wa kwanza...
View ArticleMwaliko wa Ikulu kwa Umma kuchangia maoni kutathmini utekelezaji wa mpango wa...
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS – IKULU TAARIFA KWA UMMA MWALIKO KWA WADAU KUCHANGIA MAONI KATIKA ZOEZI LA SERIKALI KUJITATHMINI (SELF ASSESSMENT) KATIKA UTEKELEZAJI WA MPANGO WA...
View ArticleKwa mara ya kwanza Tanzania yapata kikao rasmi EALA, Kikao kimoja kufanyika...
Mwenyekiti wa wabunge wa Tanzania Katika Bunge la Afrika Mashariki, Mhe. Adam Kimbisa akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Katibu wa wabunge wa...
View ArticleSerikali yatoa ufafanuzi kuhusu tuhuma zilizotolewa na mtandao wa kijamii wa...
Msemaji wa Serikali na Mkurugenzi wa Idara ya Habari- (MAELEZO) Assah Mwambene akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam kuhusu mtandao wa kijamii wa nchini Kenya ulioituhumu...
View ArticleField wide open as Channel O Africa Music Awards celebrates 10 years!
Nominations for the 10th Annual Channel O Africa Music Awards were announced today, revealing an open field in the race to claim Africa’s most prestigious music awards. Nominees in the 14 categories...
View ArticleMh. Pinda aagana na Balozi wa Marekani aliyemaliza muda wake
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Balozi wa Marekani Nchini aliyemaliza muda wake, Alfonso Lenhardt, Ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma leo. Balozi huyo alikweda kuaga. (picha na Ofisi ya...
View ArticleMinister Membe pays a courtesy visit to President Mugabe of Zimbabwe
President Robert Mugabe of the Republic of Zimbabwe awaits to receive Hon. Bernard K. Membe (MP), Minister for Foreign Affairs and International Co-operation. Minister Membe paid a courtesy visit at...
View ArticleDkt. Elmi Dualle na mkewe Anti Ashura washerehekea sherehe zao kwa pamoja...
Dkt.Elmi na Mkewe almaarufu kwa jina la Anti Ashura wakiwa wameshikana mikonon kwa pamoja wakioneshana upendo na mapenzi teeele,usiku wa leo kwenye sherehe yao. Dkt.Elmi na Mkewe almaarufu kwa jina...
View ArticleKatibu Mkuu mpya wa UVCCM aripoti ofisini leo
Katibu Mkuu mpya wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Sixtus Mapunda (wapili kushoto) akiwasalimia baadhi ya watumishi wa makao makuu ya Jumuia hiyo, jijini Dar es Salaam, alipowasili kuripoti rasmi...
View Article