Quantcast
Channel: MO BLOG » Admin
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1758

Wajumbe Baraza kuu UVCCM kutoka Tanzania Bara wawasili Zanzibar kushiriki kikao kinachofanyika leo.

$
0
0

Bandari ya Zanzibar

 Baadhi ya wajumbe wa Baraza Kuu ya UVCCM ambao wamechanganyika na abiria wengine, wakiwa kwenye gati baada ya kushuka katika boti jana jioni.

3

 Baadhi ya wajumbe wa Baraza Kuu la UVCCM kutoa Tanzania Bara wakitoka bandarini baada ya kuwasili mjini Zanzibar kwa ajili ya kikao cha Baraza hilo kitakachofanyika leo, Afisi Kuu ya CCM, Kisiwandui

 Baadhi yao wakisubiriana kabla ya kupanda mabasi maalum yaliyoletwa bandarini kuwabeba

 Wajumbe wakiwa katika mabasi

 Wajumbe wakiwasili Afisi Kuu ya UVCCM Zanzibar

 Baada ya wajumbe hao kushuka

Kikundi cha Bras Band cha UVCCM Zanzibar kikijifua kwa mazoezi kwa ajili ya mkutano wa leo.Imetayarishwa na theNkoromo Blog


Viewing all articles
Browse latest Browse all 1758

Trending Articles