Quantcast
Channel: MO BLOG » Admin
Browsing all 1758 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mbeya zamu yenu sasa imefika

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Washiriki wa kliniki ya Airtel Rising Stars kutua Dar Jumatatu

Meneja uhusiano wa  Airtel Tanzania Jackson Mbando akiongea na waandishi wa Habari wakati wa kutangaza Kliniki ya Kimataifa ya mpira wa soka ya Manchester United ambayo itafanyika Jijini Dar es Salaam...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mo Blog Team Wishes you a Happy Easter!

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Kikwete, TUCTA wajadili jinsi ya kuboresha maslahi na ustawi wa wafanyakazi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete. -Aagiza kukamilishwa kwa uundwaji wa mabaraza ya wafanyakazi katika utumishi wa umma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Salamu za Pasaka 2014 toka Chama Cha Mapinduzi Uingereza

CHAMA CHA MAPINDUZI – TAWI LA UINGEREZA – UNITED KINGDOM Website ccmuk.org, Blog ccmuk.org/blog, Facebook page chama cha mapinduzi uingereza, twitter CCMUK 1 Contacts Phone  +44 74 04 863333, +44 7545...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Vijana wazalendo wa vyuo vya elimu ya juu Dar walaani vurugu zinazojitokeza...

Mwanafunzi kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Gulatone Masiga akifafanua jambo kwa waandishi wa Habari(hawapo pichani), kushoto ni Acbert Sweya kutoka Chuo Kikuu cha Kampala.wakati wa Mkutano...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Alphoce Felix na Jackline Sakilu washindi wa Tigo Ngorongoro Marathon

Kaimu Mhifadhi wa Mbuga ya Ngorongoro, Bw. Amio Amio ambaye aliyemwakilisha mgeni rasmi katika uzinduzi wa Mbio za Tigo Ngorongoro zilizofanyika jana Aprili 19, 2014 kuanzia Mbuga ya Ngorongoro na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Chege,YP wawasha moto Coco Beach

Msanii chipukizi wa muziki wa kizazi kipya Msomi John a.k.a War killer akiwapagawisha wakazi wa jiji la Dar es Salaam katika Tamasha la Cheka Bombastik lililoandaliwa na Vodacom Tanzania mahususi kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Fundraising Dinner Columbus yafana Balozi Liberata Mulamula asisitiza...

Mhe. Liberata Mulamula akipokewa na mweka hazina wa Jumuiya Bi. Vera Teri mara tu alipowasili kwenye fundraisng dinner ya Jumuiya ya Watanzania Columbus, Ohio iliyofanyika Comfort Inn siku ya Jumamosi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tamasha la Pasaka latikisa Uwanja wa Taifa

Mgeni rasmi Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa kimataifa Mh. Bernald Membe aliyemuakilisha Rais Jakaya Kikwete katika Tamasha la Pasaka lililofanyika jana kwenye u8wanja wa Taifa akizungumza na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wema Sepetu ashinda Tuzo ya Ijumaa Sexiest Girl, Weusi, Wanaume Family...

Mrembo Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ akiwa na tuzo yake baada ya kuibuka Ijumaa Sexiest Girl 2013/14 ndani ya Dar Live usiku wa kuamkia leo. Wema akiwashukuru mashabiki wake waliompigia kura...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wakazi nyumba za TAMCO waiomba Halmashauri ya Kibaha kutengeneza barabara

Mvua kubwa inayoendelea kunyesha katika mkoa wa Pwani, imesababisha madhara mengi, ikiwemo kuharibu vibaya kipande cha barabara kinachoanzia bwalo la magereza hadi nyumba za Tamco katika halmashauri...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mama Kikwete awataka Walemavu kutokumlaumu mwenyezi Mungu kwa Ulemavu wao

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimkabidhi Kiongozi wa Kituo cha walemavu cha Raisbura Bwana Mohamed Chitawala baadhi ya vyakula alivyowaletea- mchele, unga, mafuta ya kupikia, sukai, soda na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Matukio mbalimbali yaliyojiri leo asubuhi mjini Dodoma linakoendelea Bunge...

  Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samuel Sitta(kulia) akibadlishana mawazo Mjumbe wa Bunge hilo Rashid Mtuta (kushoto) leo mjini Dodoma kabla ya kuanza kwa kikao cha asubuhi. Naibu Katibu wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CCM Meatu yazoa viongozi wa CHADEMA

-Mwenezi wa Chadema Wilaya ya Meatu arudi CCM pamoja na viongozi wengine wa Chadema -Lugaila Madama aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema kata ya Mwandoya arudi CCM -Miyeye Robert aliyekuwa mwenyekiti wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tutaendelea kutumia mashine mpya kukusanya kodi – Rais Kikwete

  Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, Mbumge wa Karatu mchungaji Israeli Nase(Watatu kushoto),Waziri wa Maji Profesa Jumanne Maghembe (Wapili kushoto),Mkuu wa Mkoa wa Arusha Magesa Mulongo(kushoto) na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Pinda aongoza waombolezaji kifo cha Mkuu wa Wilaya ya Kalambo

 Waziri Mkuu Mizengo Pinda akitoa pole kwa waombolezaji kabla ya kutoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa, Moshi Chang’a, nyumbani kwa Marehemu Mbagala Kibonde Maji...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Serikali yaeleza mipango ya kuendeleza masoko jijini Dar es Salaam

Afisa Uhusiano Manispaa ya Ilala Bi. Tabu Shaibu akiwaeleza waandishi wa Habari (hawapo pichani)kuhusu mpango wa serikali wa kuendelea kuimarisha Masoko katika Jiji la Dar es Salaam, Wakati wa Mkutano...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kanisa kutumia zaidi ya shilingi 214 milioni kujenga shule

 Waziri wa Mali asili na Utaliii na Mbunge wa jimbo la Singida kaskazini,Lazaro Nyalandu. Na Nathaniel Limu, Singida KANISA jipya la Miracle Assemblies of God Ministry (MAGM) mkoani Singida...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Watanzania wametakiwa kuchangamkia fursa za uwekezaji

Ofisa utumishi Mkuu  Wilaya ya kinondoni  Bwana Godfrey Mugomi akikata utepe  kuashiaria  uzinduzi  wa Hoteli ya kisasa STAR CITY HOTEL iliyopo Afrikana Sinza wanaoshudia ni Mkurugezi mkuu na mmiliki...

View Article
Browsing all 1758 articles
Browse latest View live