Quantcast
Channel: MO BLOG » Admin
Browsing all 1758 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Makamu wa Rais Dkt. Bilal afungua kongamano la 28 la mwaka la Wanasayansi la...

 Makamu  wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akizindua rasmi Kongamano la 28 la Mwaka la Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Tiba (NIMR). Kongamano...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Kikwete atunuku Nishani na Tuzo za miaka 50 ya Muungano

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete usiku wa kuamkia leo ametunuku nishani na Tuzo kwa viongozi mbalimbali wa kitaifa na watumishi wa umma wapatao 86 waliotoa mchango wao katika kuulinda na kuudumisha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dk. Makongoro Mahanga afungua kongamano la afya na usalama katika matumizi ya...

 Washiriki wakijiandikisha nje ya ukumbi kabla ya kuanza kwa kongamano la afya na usalama katika matumizi ya kemikali sehemu za kazi  Zoezi la uandikishaji na uhakiki wa majina ya washiriki wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jukwaa la katiba watangaza kusuluhisha mgogoro wa Bunge Maalum la Katiba

Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba, Deus Kibamba akizungumza katika mkutano wa waandishi wa habari uliofanyika ofisi za Jukwaa la Katiba jijini Dar es Salaam katika kutoa tamko rasmi za tathimini ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Sherehe za miaka 50 ya Mapinduzi zafana Uwanja wa Taifa

Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwasalimia wananchi wakati alipokuwa anaingi uwanja wa Uhuru leo katika maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.Pembeni ni Mkuu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Sherehe za Muungano kituo cha Geneva, Switzerland zafana

Balozi wa Tanzania katika Mashirika ya Umoja wa Mataifa, Geneva,  Mhe.  Modest Mero, akimkaribisha Balozi wa Jamhuri ya watu wa China-Geneva, Liu Jieyi katika tafrija maalum ya maadhimisho ya miaka 50...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Women Advancement Forum 2014 & AWARDS: 25-29 May: Expect great things at WAF...

Women Advancement Forum (WAF) is Africa’s most attended gender conference Her Excellency (Mrs) Zineb Jammeh, First Lady, The Gambia, Her Excellency, Dr. Isatou Njie Saidy, Vice President,The Gambia,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hafla ya Miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania yafana Viwanja vya Ikulu

Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete na Rais wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dr. Ali Mohamed Shein wakikata keki katika sherehe ya Miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

‘Ushirikina’ Wakwamisha Mapambano ya Mimba kwa Wanafunzi Mbeya Vijijini

  Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Usoha Njiapanda iliyopo Mbeya Vijijini. Mwenyekiti wa Kijiji cha Usoha Njiapanda, , Willson Mwamunyila (katikati) akizungumza na mwandishi wa habari hizi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Diamond na Wema kuhamia Mtwara

Wakazi wa kusini mwa Tanzania yaani mkoa wa Mtwara wametakiwa kukaa mkao wa kula burudani ya nguvu ya muziki itapigwa moja kwa moja jukwaani siku ya tarehe 2 ya mwezi wa Mei katika ukumbi wa Makonde...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Katibu wa nchi wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Ushelisheli ateta na Prof. Anna...

Katibu wa Nchi wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Ushelisheli, Barry Faure (Kulia) akitia saini kitabu cha wageni wakati alipowasili kwenye Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi , Prof. Anna...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Usikose mkesha wa May Day leo usiku na Skylight Band ndani ya Escape One

Bendi yako ya kijanja Skylight inakutangazia ratiba yake ya leo kwenye mkesha wa May Day ndani ya Kiota cha Escape One Mikocheni kuanzia saa 2 usiku mpaka kieleweke…Njoo ucheze ma-style ya nguvu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kwa mara ya kwanza Hyatt Regency ya Hong Kong yatoa ofa ya smartphone kwa...

Na Mwandishi Wetu Kwa mara ya kwanza hoteli maarufu duniani ya Hyatt Regency ya Hong Kong imetoa simu aina ya smartphone bure kwa wageni wake waliopanga kwenye hoteli hiyo. Hoteli hiyo ya Hyatt...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Twiga Cement dividends up 5%

Tanzania Portland Cement Co Ltd (TPCC)Managing Director, Alfonso Rodriguez addressing the company’s shareholders during the TPCC 22nd  Annual General Meeting in Dar es Salaam on Tuesday.  On his left...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Upitiaji rasimu ya Katiba ya Club ya Simba wamalizika

Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo Bw. Leornad Thadeo akitoa ufafanuzi kwa Wanahabari (hawapo pichani) kuhusu Rasimu ya Katiba ya Timu ya Mpira wa Miguu ya Simba baada ya wanahabari kutaka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Halmashauri na wadau wa jiji la Mwanza waanza maandalizi ya sherehe za...

Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi inayoundwa na wadau wa watoto jijini Mwanza Bw. Godfrey Salumu akifafanua utaratibu mzima wa utendaji kazi wa kamati ndogo ndogo zilizoundwa kwa wajumbe (hawapo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Kikwete akutana na mjumbe wa Rais wa Burundi Ikulu jijini Dar

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Sheikh Mohamed Rukara, Mjumbe maalum wa Rais wa Burundi Mhe Pierre Nkurunzinza, alipofika na ujumbe wake kuwasilisha ujumbe huo Ikulu jijini Dar es salaam...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Brand New Song: Salmin Swaggz – FADED (ft James Cuca)

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wafanyakazi ‘Katiba na Sheria’ waaswa kuchapa kazi

Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali na Afya (TUGHE) Mkoa wa Dar-es-salaam Bw. Hassan Kaumo akiongea na wafanyakazi wa Wizara ya Katiba na Sheria katika mkutano wa Baraza la Wafanyakazi la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hatari: Tanesco waamua kuchukua uamuzi wa kufunga nyaya juu ya mti baada ya...

Nguzo hii ina zaidi ya Mwezi mmoja ikiwa ndani ya nyumba ya mtu na hatari zaidi kwa sababu imelalia katika miti mibichi. Hivi ndivyo nguzo hiyo inavyo onekana kwa Jirani ikiwa imelalia miti. Hizi  ni...

View Article
Browsing all 1758 articles
Browse latest View live