Quantcast
Channel: MO BLOG » Admin
Browsing all 1758 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kikundi cha kuweka na kukopa cha Imani chazinduliwa Tandika, Temeke

MNEC wa Temeke Phares Magesa alikuwa Mgeni rasmi  kuzindua kikundi cha Kuweka na kukopa cha Imani cha Tandika, Temeke. Ndg. Magesa alitoa nasaha na kuwataka kila mmoja kuwajibika kwa kufanya Kazi kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DC akemea posho kwa viongozi wa umma

Mkuu wa wilaya ya Singida, Mwalimu Queen Mwashinga Mlozi, akizungumza kwenye ufunguzi wa mkutano wa mrejesho wa utafiti wa marejesho ya taarifa ya mradi wa ufuatiliaji na uwajibikaji jamii.Wa kwanza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Fenella azindua program ya mafunzo ya mchezo wa Chess mashuleni

 Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara akihutubia wadau wa mchezo wa Chess alipokuwa mgeni rasmi katka chakula cha usiku kilichoandaliwa maususi kwa ajili ya kuzindua...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Makamu wa Rais Dkt. Bilal akutana na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Mangu

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na kumkaribisha Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest Mangu, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kampuni ya Bia ya Serengeti Kuwapeleka Watanzania Brazil

Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), Ephraim Mafuru (wa pili kulia) akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam. Pamoja naye ni Meneja Masoko wa SBL, Allan Chonjo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wasanii na Waandishi walipokutana usiku wa tarehe 2 mjini Mbeya

 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na wageni waalikwa kwenye sherehe za Usiku wa Wasanii na Waandishi wa Habari zilizofanyika usiku wa tarehe 2 Februari kwenye ukumbi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mh. Mahmoud Thabit Kombo ala kiapo Baraza la wawakilishi Zanzibar

Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe. Pandu Ameir Kificho akimuapisha Mhe. Mahmoud Thabit Kombo kuwa Muwakilishi wa Jimbo la Kiembesamaki, katika ukumbi wa baraza la Wawakilishi Mbweni.  Mwakilishi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

China kuendelea kusaidia Zanzibar katika harakati za kuinua uchumi

Balozi Mdogo wa Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China, Bwana Xie Yunliang akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi  Ofisini kwake Vuga Mjini Zanzibar. Makamu wa Pili wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Breaking News: Basi la Zuberi lapata ajali laua wanne papo hapo – Singida

Picha hii haihusiki na ajali ya basi la Zuberi iliyotokea mchana huu huko wilayani Ikungi. Mwandishi wetu, Ikungi BASI la Zuberi lenye namba T119 AA2 limepata ajali mbaya katika kijiji cha Nkuhi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kutoka kwenye msaada wa matibabu kwa Rais mpaka kusoma uandishi wa habari

Kijana Bakari Hassan Katumbaku (Kulia) akionyesha Picha zake enzi za utoto kabla ya kupata ajali ya moto kwa Waandishi wa Habari hawapo pichani leo Jijini Dar es Salaam, Kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Makamu wa Rais Dkt. Bilal afungua ofisi ya IECO ukanda wa Afrika Jijini Dar

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akikata utepe kufungua rasmi ofisi ya IECO ukanda wa Afrika, yenye makao yake makuu Beijing China iliyofunguliwa jijini Dar es Salaam  Tanzania, leo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tigo yazawadia milioni 830/- kwa wateja 2,335

Mshindi wa promosheni ya Tigo ‘Shinda Kitita na Tigo Pesa’ Bi. Germina Shayo (kushoto) akipokea mfano wa hundi wa shilingi milioni 10 kutoka kwa Mratibu wa Promosheni wa Tigo Pesa Mary Rutta katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Interesting Facts about Human Body!

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Minister Of Health Opens Discussions On Maternal And Child Health In Tanzania

Mr. Amin Kurji, ADKN Resident Representative for Tanzania, giving remarks at the Canada-Tanzania Health Partnership. Seated on the panel from Left to Right is Dr. Donan Mmbando Chief Medical Officer...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Naibu Waziri wa Fedha Adam Malima ahitimisha ziara ya kikazi Kanda ya Ziwa

Naibu Waziri wa Fedha Adam Malima akiongea na wafanyabiashara wa jijini Mwanza katika ukumbi wa Benki Kuu alipokuwa kwenye ziara ya kutembelea mikoa ya Kagera, Mara na Mwanza. Wa kwanza ushoto ni...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Benki ya CRDB yatoa Milioni 100 kusaidia walioathirika na mafuriko mkoani...

Rais  Jakaya Kikwete akimkaribisha Ikulu jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei, (kushoto), alipofika kutoa msaada wa sh. milioni 100 wa benki hiyo kwa ajili ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

This is so beautiful

An anthropologist proposed a game to the kids in an African tribe. He put a basket full of fruits near a tree and told the kids that who ever got there first wins the sweet fruits. When he told them...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Global Breaking, Tamasha la Jogging waahidi makubwa Dar Live J’pili Hii

Kutoka kushoto ni mratibu mwenza wa Tamasha la Jogging, Mashauri, Mratibu wa Jogging, KP, Meneja wa Global Publishers, Abdallah Mrisho, Mratibu wa Matukio wa Global, Luqman Maloto na Meneja wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Furahia Siku Ya Wapendanao Na MeTL!

Habari njema kwako msimu huu wa Sikukuu ya Wapendanao! Furahi na Mohammed Enterprises Tanzania Limited kwa kushiriki shindano la TUMA PICHA ukiwa na mwenza (mpenzi) wako kwenye ukurasa wetu wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SACGOT Corridor Anchors 110 Million Euro Agricultural Investment Project in Tea

From left to right: Juliet Kairuki, CEO, Tanzania Investment Centre, Peniel Lyimo, Deputy CEO, Presidential Delivery Bureau, Mrs Sophia Kaduma, Permanent Secretary Ministry of Agriculture; Hon. Chiza,...

View Article
Browsing all 1758 articles
Browse latest View live