MNEC wa Temeke Phares Magesa alikuwa Mgeni rasmi kuzindua kikundi cha Kuweka na kukopa cha Imani cha Tandika, Temeke. Ndg. Magesa alitoa nasaha na kuwataka kila mmoja kuwajibika kwa kufanya Kazi kwa bidii na Maarifa ili kupiga vita maradhi, umaskini na ujinga ili kupata Maisha bora.
Viongozi wa kikundi na Mgeni rasmi.
Mgeni rasmi akikata utepe kama ishara ya kuzindua kikundi hicho.
Mgeni rasmi akitoa nasaha.
Picha ya pamoja na wanakikundi.