Quantcast
Channel: MO BLOG » Admin
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1758

Kutoka kwenye msaada wa matibabu kwa Rais mpaka kusoma uandishi wa habari

$
0
0

IMG_9739

Kijana Bakari Hassan Katumbaku (Kulia) akionyesha Picha zake enzi za utoto kabla ya kupata ajali ya moto kwa Waandishi wa Habari hawapo pichani leo Jijini Dar es Salaam, Kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari Maelezo Bw. Vincent Tiganya.(Picha Benjamin Sawe wa Wizara ya Habari).

IMG_9740

Kijana Bakari Hassan Katumbaku (Kulia) akionyesha Picha ya Mheshimiwa Rais Dr. Jakaya Mrisho Kikwete kwa Waandishi wa Habari hawapo Pichani wakati alipotembelewa kipindi cha matibabu yake katika Hospitali ya Muhimbili Dar es Salaam  baada ya kupata ajali ya moto, kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari Maelezo Bw. Vincent Tiganya.

IMG_9745

Kijana Bakari Hassan Katumbaku ambaye alipata msaada wa matibabu kutoka kwa Mheshimiwa Rais Dr. Jakaya Mrisho Kikwete ambapo mpaka sasa anaendelea kupata msaada wa kusoma (kulia) akimshukuru Mheshimiwa Rais mbele ya waandishi wa Habari (Hawapo Pichani) kwa msaada aliopewa,kijana huyo kwa sasa anasoma katika Chuo cha “Tanzania School of Journalism” akichukua fani ya Uhandishi wa Habari ngazi ya Cheti.Bakari alipata ajali ya Moto, kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari Maelezo Bw. Vincent Tiganya.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 1758

Trending Articles