Quantcast
Channel: MO BLOG » Admin
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1758

Furahia Siku Ya Wapendanao Na MeTL!

$
0
0
valentine
Habari njema kwako msimu huu wa Sikukuu ya Wapendanao! Furahi na Mohammed Enterprises Tanzania Limited kwa kushiriki shindano la TUMA PICHA ukiwa na mwenza (mpenzi) wako kwenye ukurasa wetu wa Facebook wa https://www.facebook.com/MeTLGroup
 
JINSI YA KUSHIRIKI:
 
- LIKE ukurasa wetu wa Facebook https://www.facebook.com/MeTLGroup na tufwate kwenye Twitter kupitia https://twitter.com/MeTLGrp
- Tuma picha nzuri ukiwa na mwenza (mpenzi) wako au mtu umpendae.
- Picha iambatane na ujumbe mzuri wa Siku ya Wapendanao
 
MSHINDI: Ni yule ambaye picha yake itapendwa na wengi na kupata LIKES nyingi!
 
Mwisho wa kushiriki ni tarehe 14 February 2014 na mshindi atatangazwa siku hiyo hiyo!
 
MeTL – The Peoples Brand
ANZA SASA, KAZI NI KWAKO!

Viewing all articles
Browse latest Browse all 1758

Trending Articles