Quantcast
Channel: MO BLOG » Admin
Browsing all 1758 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hadija Kopa aiteka Mbeya

Malkia wa Taarab nchini Bi. Hadija Kopa akiimba mbele ya umati wa watu kwenye ukumbi maarufu wa City Pub mjni Mbeya.  Baadhi ya wanamuziki wa TOT Taarab wakiimba kwa hamasa wakati band hiyo ya muziki...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwenyekiti wa CCM Taifa alipowasili Mbeya jana

  Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano akipunga mkono wakati akishuka kutoka kwenye ndege jioni ya jana kwenye uwanja wa Kimataifa wa Songwe mkoani Mbeya tayari kwa sherehe za...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Siyo siasa tu hata kulima tunaweza!

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akishiriki kupalilia katika shamba la Mage Kolimwa (wapili kulia), katika Kijiji cha Mlimanyoka, Kata ya Nsalanga, wilala ya Mbeya mjini. Kinana alifika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JK aongoza matembezi ya mshikamano Mbeya

 Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza matembezi ya mshikamano katika kuadhimisha miaka 37 ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Makamu Wa Rais Dkt. Bilal ashiriki kupiga kura uchaguzi mdogo wa uwakilishi...

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwasili kwenye Kituo chake cha kupigia Kura, kwa ajili ya kushiriki kupiga kura ya kumchagua Mwakilishi wa Jimbo la...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mama Kikwete awataka wakazi wa mkoa wa Lindi kutunza amani

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete ambaye pia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu Taifa akizungumza wakati wa uzinduzi wa sherehe za kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinnduzi (CCM) mkoani Lindi zilizofanyika jana katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tamko la Viongozi wa Wafanyabiashara na Wajasiriamali Tanzania

Jumuiya Ya Wafanyabiashara Tanzania by zainul_mzige21

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Zero new HIV infection through access to health services for mothers and...

The 13th General Assembly of the African First Ladies Against HIV/AIDS (OAFLA) took place on January 31st 2014 at the Africa Union old building under the theme “Zero new infection of HIV through...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mashindano ya Ngalawa yafana Tanga

Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga Amina Mwidau (CUF), akizindua mashindano ya Ngalawa Wilayani Muheza. Ngalawa zikiwa katika mstari kwa ajili ya kuanza mashindano katika pwani ya Kijiji cha Kigombe...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Matembezi ya mshikamano ya CCM manispaa ya Singida yafana

Chama Cha Mapinduzi (CCM) jimbo la Singida mjini jana kimefanya matembezi ya mshikamano ya kilometa kumi kuanzsia ofisi ya CCM mkoa wa Singida hadi Mandewa nje kidogo ya mji wa Singida. Baadhi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Kikwete akagua Ukumbi wa Bunge Maalum la Katiba Dodoma

Picha juu na chini ni Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua sehemu ya kukalia katika  Bunge jijini Dodoma alikotembea kukagua ukarabati na marekebisho yanayoendelea tayari kwa kupokea wajumbe wa Bunge...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Washindi wa Weka Upewe promosheni ya NBC wapewa zawadi

  Mshindi wa promosheni ya WEKA UPEWE  ya NBC Limited Bw. Abib Gervas Ndendya (kushoto) akipokea funguo ya bodaboda kutoka kwa Meneja wa tawi la NBC Njombe bi Dorah Godfrey Lewis (kulia) baada ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tanesco kutumia shilingi 48 bilioni kusambaza Umeme Vijijini Singida

Meneja wa TANESCO mkoa wa Singida, Maclean Mbonile akiwa ofisini kwake kutekeleza majukumu yake ya kila siku.(Picha na Nathaniel Limu). Na Nathaniel Limu, Singida SHIRIKA la umeme Tanzania (TANESCO)...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

After reading this, you’ll never look at a banana in the same way again

This is interesting. After reading this, you’ll never look at a banana in the same way again. Bananas contain three natural sugars – sucrose, fructose and glucose combined with fiber. A banana gives...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) kuanza kujenga eneo la Msata Bagamoyo Pwani

Makamu mwenyekiti wa Chuo cha usimamizi wa fedha (IFM) Bw. Kasmiri Nyoni akizungumza kuhusu utanuzi wa chuo cha usimamizi wa fedha ambacho kinakaribia kuanza kujengwa  Msata wilaya ya Bagamoyo Pwani...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dkt. Fennela Mukangara afungua kikao kazi cha Maafisa habari na Mawasiliano...

Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Dkt. Fennela Mukangara akiongea na Maafisa Habari na Mawasiliano (hawapo pichani) na kuwataka kuendelea kutumia mitandao ya kijamii katika kuwasiliana na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Paris Hilton ashinda mapesa kwenye kamari katika moja ya hoteli yenye casino

Na Mwandishi Wetu, MOblog Kwa Msaada wa Mtandao Paris Hilton mwanadada maarufu kwa kutengeneza nywele na mfanyabiashara mkubwa aweka katika mitandao picha za mapesa baada ya kushida kwenye moja ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wazazi sasa kukamatwa kwa kushindwa kuandikisha watoto shule za sekondari

Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Singida na mwenyekiti wa wenyeviti wa CCM mikoa nchini,Mgana Msindai, akihutubia wananchi na wana CCM waliohudhuria maadhimisho ya CCM kutimiza miaka 37 toka kianzishwe....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Serikali yatoa ufafanuzi wa bei za mashine za EFD

Kamishna wa Kodi za Ndani wa Mamlaka ya Mapato Tanzania Patrick Kasera akifafanua kwa wafanyabiashara wa mkoani Mara juu ya mashine za EFDs na kusema kuwa mashine hizo kazi yake kuu ni kutunza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Serikali yasema haina Ugomvi na Vyombo vya Habari

Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Dkt. Fennela Mukangara akiongea na Maafisa Habari na Mawasiliano (hawapo pichani) na kuwataka kuendelea kutumia mitandao ya kijamii katika kuwasiliana na...

View Article
Browsing all 1758 articles
Browse latest View live