Quantcast
Channel: MO BLOG » Admin
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1758

Mabondia wapima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa Jumapili ya Januari 26 Manzese

$
0
0

IMG_9422

Bondia Muss Chitepete (kushoto) akitunishiana misuli na Ramadhani Shauli wakati wa upimaji wa uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika Jumapili ya January 26 katika ukumbi wa Friends Corner Manzese Dar es salaam.(Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com).

IMG_9427

Bondia Muss Chitepete kushotoakipima uzito kwa ajili ya mpambano wake na Ramadhani Shauli kulia.

IMG_9417

Mabondia Bakari Magona ‘Beka Ostadhi’ kushoto akitunishiana misuli na Juma Fundi baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika jumapili ya January 26 katika ukumbi wa Friends Corner Manzese Dar es salaam.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 1758

Trending Articles