Quantcast
Channel: MO BLOG » Admin
Browsing all 1758 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tamasha la Jinsia Tanzania lafana Jijini Dar es Salaam

Washiriki wa mkutano wa tamasha la jinsia tanzania 2013 wakiandamana kuingia katika viwanja vya TGNP kabla ya kuanza kwa maadhimisho. Maadhimisho hayo yanaenda sambamba na kusherehekea miaka 20 ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kumbukumbu ya Miaka 10 ya Ndg. Stephen S. Shilatu

Ilikuwa dakika, saa, mwezi na sasa ni miaka 10 kamili tangu alyekuwa Baba wa Marehemu John Stephano Shilatu, Mzee STEPHANO SHIGEMELO SHILATU wa Kisesa Mwanza atutoke ghafla duniani mnamo tarehe...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Music Preview : Booze and the money by Zigua

  Title: Booze and the money By: Zigua Produced by: Zigua Beat By: Stiggo of SnSrecordNY

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wito wa Wananchi kuhusu Tozo/Kodi ya Laini ya Simu yafika Bungeni

Sehemu ya Wabunge wa  Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Press Release Bunge by dewjiblog

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kinana akutana na Balozi wa Sudan

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kulia) akimkaribisha Balozi wa Sudan hapa nchini, Dk. Yassir Mohamed Ali,kabla ya mazungumzo naye, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dear Men!

Dear Men, A woman who loves you truly will never ask you to buy her expensive gifts or take her to expensive places… She won’t ask for diamonds, rubies or a promise to bring her a world of luxuries…...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Kikwete na Mama Salma Kikwete washiriki Mazishi ya Askofu Mkuu wa Kanisa...

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakitoa heshima za mwisho na kuweka udongo katika kaburi la aliyekuwa Muasisi na askofu Mkuu wa Kanisa la EAGT Marehemu Dkt. Moses Kulola...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Masuperstar wa Bongo akiwemo Wema Sepetu, Kajala, Dully Sykes na wengine...

Vijana wa Skylight Band kutoka kushoto ni Rappa Joniko Flower, Sony Masamba na Sam Mapenzi wakishambulia jukwaa Ijumaa iliyopita kwenye uwanja wao wa nyumbani Thai Village Masaki jijini Dar. Pia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wonders Of 21st Century

Our Phones = WIRELESS   Our cooking = FIRELESS   Our Cars = KEYLESS   Our Food = NEUTRITIONLESS   Our Tires = TUBELESS   Our Dresses = SLEEVELESS   Our Youths  = JOBLESS   Our Leaders = SHAMELESS...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hassan Maajar Trust Fundraising Gala Dinner

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Siku ya Pili ya Tamasha la Jinsia Tanzania 2013

Meneja wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP), Lilian Liundi (katikati) akichangia mada kwenye moja ya semina anuai zinazoendelea katika Tamasha la jinsia 2013...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mstahiki Meya Mh. Jerry Silaa akabidhi Magodoro 50 Hospitali ya Taifa Muhimbili

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala Mh. Jerry Silaa akiwa ameongozana na Mwenyekiti wa kikundi cha Neema Womans Power  Bi.Maryam Dedes kuelekea kwenye chumba cha mikutano katika Hospitali ya Taifa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Shindano Jipya la Tanzania Top Model lazinduliwa Jijini Dar Es Salaam

Mbunifu wa mitindo nchini Asia Idarous akizungumza wakati wa uzinduzi wa shindano jipya la wanamitindo linalojulikana kwa jina la Tanzania Top Model uliofanyika kwenye mgahawa wa City Sports Lounge...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Maghembe ashikia dau Big Result Now

Waziri wa Maji, Prof. Jumanne Maghembe akiwa amesimama juu ya mradi wa maji wa Miganga, pembeni yake akiwa na Mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde katika ziara aliyoifanya Wilayani  Chamwino, mkoani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Walimu waaswa kuzingatia viapo katika usimamiaji wa mtihani wa kumaliza Elimu...

Mkuu wa shule ya msingi Ikungi mchanganyiko, Olivary Kamili akiagalia wanafunzi wakijipanga tayari kuingia madarasani kuanza masomo.Picha na Nathaniel Limu. Na Nathaniel Limu Mkurugenzi Mtendaji wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Msafirishaji Mbabaishaji asababisha Shehena ya Malawi iliyokuwa imezuiliwa...

  Udanganyifu uliofanywa na msafirishaji aliyepewa zabuni ya kusafirisha transformer zinazotakiwa kupelekwa nchini Malawi kupitia bandari ya Dar es Salaam umesababisha shehena hiyo kutakiwa kulipiwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Nyama Choma Festival ni Jumamosi Hii

Kwa mara nyingine kwa wale wapenzi wa Nyama Choma yaani “ Nyama Choma Festival “ ule wakati adhimu wa kujilamba vidole umewadia namaanisha Jumamosi hii katika viwanja vya Posta jijini Dar-Es-Salaam....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BMAF launches the second strategic plan

By Eleuteri Mangi- MAELEZO   The Benjamin William Mkapa HIV/AIDS Foundation (BMAF) launched the second strategic plan for quality health service guided by core value including excellence, innovation,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Makamu Wa Rais Dkt. Bilal, akutana na Uongozi wa Kampuni ya Simu za Mkononi...

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na kumkaribisha Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Simu za mkononi Zantel, Pratap Ghose, wakati alipofika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Bodi yaanzisha kiapo kwa wahandisi wataalamu

Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli (kulia) akizindua rasmi kiapo cha utii kwa Wahandisi Wataalamu jijini Dar es Salaam kilichofanyika katika hafla ya maadhimisho ya Siku ya Wahandisi 2013. Picha...

View Article
Browsing all 1758 articles
Browse latest View live