Ndoa za watu wa jinsia moja karibuni kuhalalishwa nchini Uingereza.
Ndoa za watu wa jinsia moja zitahalalaishwa katika mataifa ya England na Wales, baada ya bunge la Uingereza kuidhinisha mabadiliko ya mwisho katika sheria ambayo inaungwa mkono na Waziri Mkuu David...
View ArticleKampuni ya Mwandi Tanzania yamkabidhi Dkt. Mwakyembe tuzo kwa mchango wake...
Mkuu wa Chuo cha Taifa Cha Usafirishaji (NIT) Dkt. Zacharia Mganilwa (kushoto) akimkabidhi tuzo Waziri wa Uchukuzi, Dkt. Harrison Mwakyembe kwa mchango wake mkubwa wa kuboresha sekta ya reli...
View ArticleScholarships for Tanzanian women.
Background Most of managers and leaders in Tanzania formal and informal business sectors are men. In order to address this gap, Evin School of Management is providing opportunities for Tanzanian women...
View ArticleMradi wa Uendelezaji Miji Tanzania (TSCP) wazaa matunda kwa Miji 18 nchini.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda (wa pili kulia), Waziri wa Nchi ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI, Hawa Ghasia (wa pili kushoto), Mkurugenzi wa Benki ya Dunia – Tanzania, Philippe Dongier (kulia), pamoja na...
View ArticleWanahabari watembelea Mradi wa Uranium uliopo chini ya Kampuni ya Manrta...
Afisa wa Kitengo cha Usalama wa Kampuni ya Mantra Tanzania inayoshughulika na Mradi wa Uchimbaji Madini aina ya Uranium, uliopo kwenye Kijiji Mkuju,Wilayani Namtumbo Mkoani Ruvuma, Fredrick Kriel...
View ArticleMeya wa Jiji la Ilala Mh. Jerry Slaa afanya ziara katika masoko ya Ilala na...
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala Mh. Jerry Slaa (kushoto) amefanya ziara katika masoko ya Buguruni na ilala kuangalia utofauti bei za bidhaa kabla na kuanza kwa mwezi mtukufu wa Ramadhani na wakati...
View ArticleBond Actor Paul Bhattacharjee Found Dead.
The body of an actor who disappeared a week ago has been found. Paul Bhattacharjee, who appeared in the James Bond film Casino Royale and EastEnders, had last been seen leaving rehearsals at the Royal...
View ArticleHalmashauri ya manispaa ya Singida inatarajia kuvuna ziada ya chakula zaidi...
Mkurugenzi wa manispaa ya Singida Joseph Mchina,akitoa taarifa yake ya utekelezaji ya mwaka 2012/2013 mbele ya kikao maalum cha baraza la madiwani juzi.Wa pili kulia ni Mustahiki meya wa manispaa ya...
View ArticleWaandishi wa habari wa Tanzania waadhimisha miaka 95 ya kuzaliwa kwa Mandela.
Afisa Habari Mkuu wa Idara ya Habari- MAELEZO Anna Itenda akikata keki wakati wa hafla fupi ya kuadhimisha miaka 95 ya kuzaliwa Rais Mstaafu wa Afrika Kusini Mzee Nelson. Keki hiyo...
View ArticleRais Dkt. Shein amteua Said Bakari kuwa Mwenyekiti wa SUZA.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein (Pichani) amemteua Said Bakari Jecha kuwa Mwenyeki wa Baraza la Chuo Kikuu cha Zanzibar (SUZA). Dkt Shein amefanya...
View ArticlePinda azindua chuo cha VETA Songea.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizindua Chuo cha Mafunzo ya Ufundi (VETA) cha mkoa wa Ruvuma mjini Songea leo.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
View ArticleCarla Bruni models for Bulgari Diva Collection.
Carla Bruni has found her way back to modeling. Until now, we had only heard that the former first lady of France had agreed to model for Bulgari. Finally, the model-turned singer has completed her...
View ArticleBalozi wa Tanzania nchini Marekani awasilisha rasmi hati za utambulisho kwa...
Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe Liberata Mulamula akiwa na Rais Barack Obama mara baada ya kuwasilisha hati ya utambulisho katika Ikulu ya nchi hiyo maarufu kama White House jijini Washington...
View ArticleLowassa amfagilia JK kwa ujio wa Obama.
Waziri mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli Mh. Edward Lowassa akifanya mahojiano na Mwandishi wa Habari Sunday Shomari jijini Washington DC. Na Swahili TV Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania Mheshimiwa...
View ArticleMeya wa Jiji la Ilala Mh. Jerry Silaa afanya ziara katika masoko ya Ilala na...
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala Mh. Jerry Silaa ( wa nne kulia)akipata maelezo kutoka mmoja wa wafanyabiashara wa mihogo Ilala alipofanya ziara rasmi katika masoko ya Buguruni na Ilala kuangalia...
View ArticleWaziri Chikawe azindua Kitabu kiitwacho “Mabadiliko ya Katiba na Hatima ya...
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe:Mthias Chikawe. akitoa hotuba wakati akizindua kitabu kiitwacho (Mabadiliko ya Katiba na Hatima ya Tanzania) kilichoandikwa na Naibu Kamishna Jenerali wa Jeshi la...
View ArticleMakamu wa Rais Dkt. Bilal ahani msiba wa Jaji Mstaafu, Buxton Chipeta.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisaini katika kitabu cha maombolezo ya Msiba wa Jaji Mstaafu, Buxton Chipeta, aliyefariki dunia Julai 16, mwaka huu...
View ArticleOver 9,000 Nigerians In Jail Abroad.
Nigerian’s Foreign Affairs Minister Ambassador Olugbenga Ashiru has said that about 9,000 Nigerians are in various prisons abroad. The highest number of 752 are in UK prisons while most them are in...
View ArticleTigo kuwezesha wateja wake kiuchumi kupitia promosheni mpya ya “Miliki...
Meneja Mbunifu wa Ofa za Tigo Suleiman Bushagama (kulia) akizungumza na Waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu promosheni mpya ya “Miliki Biashara Yako.” Pembeni yake ni Meneja Chapa wa Tigo,...
View ArticleAmiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama nchini Rais Kikwete aongoza...
Mkuu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Meja Jenerali Davis Mwamunyange akiwasili kwenye viwanja vya Diamond Jubilee kujumuika na Wananchi, ndugu na jamaa wa askari wa Tanzania wa kulinda amani...
View Article