Quantcast
Channel: MO BLOG » Admin
Browsing all 1758 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Maonesho ya Utumishi wa Umma yakiendelea nchini Ghana.

Mkuu wa Kitengo cha Mikopo wa Wizara ya Fedha kutoka kwa Mhasibu Mkuu wa Serikali Bi. Christine Ngonyani akiwa na watumishi wa wizara ya fedha akifafanua kuhusu mikopo inayotolewa na wizara ya fedha....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kamati ya Miss Tanzania yatembelea Kambi ya Redds Miss Kinondoni 2013.

Mkuu wa Itifaki wa Kamati ya Miss Tanzania, Albert Makoye akiongea machache wakati kamati hiyo ilipotembelea Kambi ya Mazoezi ya Redds Miss Kinondoni 2013 iliyopo katika hoteli ya JB Belmont hoteli...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tigo yashirikiana na Kampuni ya Huawei kuzindua Simu mpya bomba kabisa aina...

  Meneja wa data kasi (Broadband) wa mtandao wa Tigo Bw. Benedict Mponzi akifafanua jambo kwa waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa simu mpya aina ya Ascend Y300. Katikati niMkurugenzi Mkuu wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

George and Mrs. Laura Bush to host summit focused on the role of African...

GEORGE W. BUSH AND MRS. LAURA BUSH TO HOST SUMMIT FOCUSED ON THE ROLE OF AFRICAN FIRST LADIES IN PROMOTING WOMEN’S EMPOWERMENT On July 2-3, 2013, African First Ladies from across the continent will...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mabondia Juma Fundi na Nasibu Ramadhani kupambana siku ya Iddi Pili.

Bondia Juma Fundi (kushoto) akitunishiana misuli na Nasibu Ramadhani wakati wa utambulisho wa mpambano wao utakaofanyika sikukuu ya Idi pili. Wengine kushoto ni mratibu Duni Lianjara, Promota wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rihanna hits fan with microphone at concert.

YouTube footage has emerged of Rihanna apparently hitting a fan with her microphone after her arm was grabbed during a concert. The star is seen reaching out to fans during the performance at the LG...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

China builds world’s fastest Supercomputer.

China has built the world’s fastest supercomputer, which is almost twice the speed of the previous record-holder from the US. The Tianhe-2 has been developed by the National University of Defence...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Askofu Charles Gadi wa Good News For All Ministry atoa sababu ya timu ya...

Maaskofu na Wachungaji wa Good News For All Ministry wametoa sababu ya Timu ya Taifa ‘Taifa Stars’ kukosa ushindi katika mechi yao naTimu ya Ivory Coast iliyofanyika jumapili iliyopita Juni 16, mwaka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kampuni ya Tigo yashirikiana na The Guardian Limited kuzindua huduma ya...

Mtaalamu wa Viwango wa kampuni ya Tigo Pamela Shelukindo (kushoto) akizungumzia kuzinduliwa kwa huduma ya ‘News SMS Service’ ambayo inalenga kuwapa habari wateja wa Mtandao wa Tigo popote pale walipo....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Aliyekuwa rais wa Afrika Kusini Thabo Mbeki atabiri kuwa mzee Mandela atarudi...

Rais wa zamani wa Afrika kusini Thabo Mbeki amesema mtangulizi wake Mzee Nelson Mandela, huenda akatoka hospitali na kuendelea na matibabu nyumbani.  Mbeki amesema hayo wakati akizungumza katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

China yaihakikishia Tanzania kunufaika na mradi wa gesi asilia ya mkoani Mtwara.

Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akizungumza mara baada ya kuzindua rasmi upokeaji wa mabomba ya gesi tayari kwa kusafirishwa hadi Mtwara. Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akibadishana mawazo na Waziri wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UNESCO kwa kushirikiana na mradi wa SIDA yaendesha mafunzo ya ujasiriamali...

 Mshauri wa Radio Jamii kutoka UNESCO Rose Haji Mwalimu akifafanua umuhimu wa mafunzo hayo ya Ujasiriamali kwa Redio za kijamii kwa washiriki ambayo yatawajengea uwezo wa kuboresha vipindi vyao na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Uratibu Dhaifu Utaua Misitu ya Afrika Mashariki.

WADAU wa masuala ya misitu katika ukanda wa Afrika Mashariki wameziomba serikali za nchi hizo kuongeza nguvu katika uratibu wa biashara ya mbao ili kuokoa misitu na viumbe vyake visitoweke kwenye eneo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Neema ya maji kwa wakazi wa Jiji la Dar Es Salaam kupitia ushirikiano baina...

Kutoka kushoto ni Eng. Christopher Sayi  (Katibu mkuu Wizara ya Maji), Godfrey Matola, Mh. Prof. Jumanne Maghembe (Waziri wa Maji) , Reinhard Paulsen , Ully Mbuluko, Moses Haule, Eng. Christian Gunner...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wanajeshi wa Umoja wa Mataifa Mashariki mwa Kongo wapewa amri kutumia silaha...

Wanajeshi wa Umoja wa Mataifa Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamepewa amri ya kutumia silaha kuwalinda raia. Msemaji wa katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw. Ban Ki-moon ndugu Martin...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Serikali ya Tanzania yatenga jumla ya shilingi Bilioni 6.1 kwa ajili ya...

Mkurugenzi wa Idara ya Vijana kutoka Wizara ya Habari Vijana Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari kuhusu utekelezaji wa azma ya Serikali kusaidia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wanaharakati Nigeria wataka rais Al-Bashir wa Sudan akamatwe.

Wanaharakati nchini Nigeria wamefungua kesi katika mahakama kuu ya shirikisho mjini Abuja, wakitaka kukamatwa kwa rais Omar al-Bashir wa Sudan ambaye amewasili nchini humo, kuhudhuria mkutano wa Umoja...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Azam mwenye miaka 91 ahukumiwa kifungo cha miaka 90 jela.

Mkuu wa zamani wa chama cha kiislamu nchini Bangladesh Ghulam Azam mwenye umri wa miaka 91, amehukumiwa kifungo cha miaka 90 jela baada ya kupatikana na hatia ya uhalifu dhidi ya ubinadamu, wakati wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Vijana watakiwa kuwa na fikra za kimkakati ili kukabiliana na changamoto...

 Mkurugenzi wa Maendeleo ya Vijana Kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel akiwasilisha mada kuhusu fikra za kimkakati kwa Vijana jijini Dar es Salaam katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mh. Pinda aweka jiwe la msingi katika Chuo cha Elimu cha Kanisa la Upendo wa...

Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akiweka jiwe la Msingi la Chuo cha Elimu cha Kanisa la Upendo wa Kristo Masihi (KIUMA) wilayani Tunduru.

View Article
Browsing all 1758 articles
Browse latest View live