Quantcast
Channel: MO BLOG » Admin
Browsing all 1758 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tetemeko la ardhi lauwa zaidi ya watu 50 nchini China na kusababisha nyumba...

  Takribani watu 54 wameuawa na wengine zaidi ya 3,000 wamejeruhiwa kufuatia tetemeko kubwa la ardhi lililotokea katika eneo la milima la magharibi mwa China. Tetemeko hilo lenye ukubwa wa 6.6 katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mh. Mukangara awataka vijana wa Kitanzania kushiriki kambi ya dunia ya vijana...

Waziri wa Habari Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara (pichani) amewashauri vijana nchini kushiriki  kambi ya Dunia ya vijana inayotarajia kufanyika mwishoni mwa mwezi huu katika ukumbi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Afghanistan yamtimua kazi Waziri wake wa Mambo ya Ndani.

 Bunge la Afghanistan  limemfukuza kazi Waziri wa Mambo ya Ndani Mujtaba Patang (pichani), ambaye ni mmoja wa wakuu wa usalama nchini humo, ikiwa haujatimia ya mwaka mmoja tu baada ya kuchukua wadhifa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Kikwete kuzindua ujenzi wa Kivuko na barabara mkoani Kagera.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dkt. Jakaya Kikwete. Hussein Makame na Jennifer Chamila, MAELEZO. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete anatarajia kuzindua ujenzi wa barabara...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Student swims for 16 hours to reach safety.

 An American college student has managed to swim to safety after surviving being stranded at sea for 16 hours. Heather Barnes, from southern New Jersey, headed out to collect coral samples off...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mkoa wa Singida kutathmini mikakati ya maendeleo wakati wa maandimisho ya...

Mkuu wa mkoa wa Singida, Dk.Parseko Vicent Kone akifungua kikao maalum cha maandalizi ya maadhimisho ya mkoa wa Singida kutimiza miaka 50 toka uanzishwe rasmi Oktoba 15 mwaka 1963 .Awali mkoa wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Fans mark 40 years since Kung Fu star Bruce Lee’ death.

  Bruce Lee is an international icon that helped put Hong Kong on the movie map but fans believe the Chinese territory is not doing enough to honour him on the 40th anniversary of his death. Fans and...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UNESCO yawataka watendaji wa redio za kijamii wilayani Karagwe kufanya kazi...

 Mshauri Mwelekezi masuala ya utawala bora Bw. Wilbert Kitima akiendesha mafunzo kwa washiriki wa Redio Jamii yaliyofanyika mjini Kayanza, wilayani Karagwe mkoa wa Kagera na kumalizika mwishoni mwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Muimbaji Kelly Rowland aokolewa kutoka katika boti iliyopoteza muelekeo...

 Mwanamuziki wa Marekani aliyekuwa mmoja wa waliounda kundi la ‘Destiny’s Child’ Kelly Rowland alikuwa miongoni mwa kundi la abiria ambao ilibidi waokolewe baada ya boti binafsi walimokuwa wakisafiria...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Klabu ya Juventus ya Italia yaongoza kwa mapato katika michuano ya makombe ya...

Shirikisho la mpira wa miguu barani Ulaya -UEFA, limetangaza mapato ya vilabu mbalimbali vilivyoshiriki katika msimu uliopita wa michuano ya Kombe la Mabingwa wa Ulaya (Champions League) na Kombe la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais wa Sudan Kusini avunja baraza lake la mawaziri na kumfukuza kazi makamu...

Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini amelivunja baraza lake la mawaziri na kumfukuza kazi makamu wake. Mwezi uliopita, rais Kiir aliwafukuza kazi mawaziri nyeti na kuanzisha uchunguzi dhidi ya tuhuma za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Makamu wa Rais Dkt. Bilal afutaru na Wananchi mkoani Arusha.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, (wa tano kutoka kushoto) akishiriki swala ya Magharibi na baadhi ya waumini wa dini ya kiislamu wa Mkoani Arusha, wakati...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Research showed those who skipping breakfast were at a greater risk of heart...

People should eat breakfast to keep their hearts in good condition. According to researchers in the US, their study of 27,000 men, in the journal Circulation, showed those skipping breakfast were at a...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Sasa unaweza kununua Album na nyimbo zote za CPwaa kupitia iTunes.

Ninayo furaha kuwajulisha ya kwamba sasa kazi zangu zote za muziki zitakuwa zinapatikana kwenye mitandao yote ya kununua nyimbo za wasanii duniani. Tayari nishasambaza Album yangu ya kwanza ” Pwaa The...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Taasisi ya Tony Blair yaahidi kuisaidia Tanzania katika mapambano yake ya...

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza Mhe. Tony Blair Ikulu jijini Dar es salaam jana. *************** Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza Tony Blair ameahidi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Big Brother The Chase: Eviction Show.

On Sunday 21 July, The Chase came to an end for housemates Pokello from Zimbabwe and Bassey from Sierra Leone when they were evicted from the Big Brother house. Big Brother The Chase, the 91-day...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Nelson Mandela biopic to have world premiere at Toronto in September.

 The film version of Nelson Mandela’s autobiography ‘Long Walk to Freedom’ is to have its world premiere at the Toronto Film Festival in September. Luther’s Idris Elba plays Mandela in the biopic, one...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kombora lililopigwa na Cristiano Ronaldo akipiga faulu latoka nje na kuvunja...

Mtoto mwenye umri wa miaka 11 shabiki wa mchezo wa soka nchini Uingereza amevunjika kiwiko cha mkono baada ya kupigwa na mpira wa ‘free kick’ iliyopigwa na nyota wa mpira wa miguu Cristiano Ronaldo....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Washindi wa Tigo ‘Miliki Biashara Yako’ wakabidhiwa Bajaji zao.

Meneja Chapa wa Tigo, Bw. William Mpinga (kulia) akimkabidhi ufunguo wa Bajaji mshindi wa kwanza wa promosheni ya ‘Miliki Biashara Yako’, Bw. Mohamed Ramadhani Mnjori (39) muuza nguo za mitumba, mkazi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UNIC yahamasisha vijana wilayani Karagwe kujiunga katika vilabu vya Umoja wa...

 Afisa Habari wa Kitengo cha Habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC) Usia Nkhoma Ledama akizungumza na Mkuu wa Shule ya Sekondari Ndama ya Wilayani Karagwe Mwl. Emmanuel Muganyizi kuhusiana na umuhimu wa...

View Article
Browsing all 1758 articles
Browse latest View live