Quantcast
Channel: MO BLOG » Admin
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1758

Maonesho ya Utumishi wa Umma yakiendelea nchini Ghana.

$
0
0

IMG_4814

Mkuu wa Kitengo cha Mikopo wa Wizara ya Fedha kutoka kwa Mhasibu Mkuu wa Serikali Bi. Christine Ngonyani akiwa na watumishi wa wizara ya fedha akifafanua kuhusu mikopo inayotolewa na wizara ya fedha. 

IMG_4842

Afisa Maendeleo ya Jamii Mwandamizi Bw. William Ghump akifafanua jambo kuhusu Mkakati wa kukuza uchumi na kuondoa umasikini  kwa wananchi waliotembelea Banda la Wizara ya Fedha. 

IMG_4842 IMG_4849

Mkuu wa Kitengo cha Mikopo wa Wizara ya Fedha kutoka kwa Mhasibu               Ghana.Mkuu wa Serikali Bi. Christine Ngonyani akifafanua jambo kwa wananchi wa Ghana.

IMG_4860

Msemaji wa Wizara ya Fedha Bi. Ingiahedi Mduma akijibu swali kutoka kwa Mwanajeshi wa Ghana aliyekuwa anataka kujua ni jinsi gani Wizara ya fedha inawasaidia wanajeshi ambao wanataka kujikwamua kiuchumi.Wakushoto kwake ni Bw. Midladjy Maez(Mkatamiti) ambaye ni Maneja wa Mahusiano TRL akisikiliza kwa makini maelezo hayo.

IMG_4875

Mkuu wa Kitengo cha Mikopo Bi Christine Ngonyani akiwa na Miriam Mnzava kutoka kwa Mhasibu Mkuu wa Serikali pamoja na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Bi. Ingiahedi Mduma wakiwapatia huduma wakuu wa jeshi la Magereza la nchini Ghana.

IMG_4886

Mkuu wa Kitengo cha Mikopo Wizara ya Fedha kutoka kwa Mhasibu Mkuu wa Serikali Bi. Christine Ngonyani akimpatia vipeperushi Bw. S.M Gyepi- Garbrah Mkuu wa Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani Ofisi ya Rais wa Ghana wakati wa Maadhimisho ya maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma Nchini Ghana.

IMG_4920

Mkuu wa Kitengo cha Mikopo Wizara ya Fedha kutoka kwa Mhasibu Mkuu wa Serikali Bi. Christine Ngonyani akiwa na watumishi wa wizara ya fedha walipotembelewa na Bw. Pascal Mugabe ambaye ni Afisa Tawala Rasilimali Watu wa Idara ya Utawala, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ambaye yupo Nchini Ghana kwa masomo ya elimu ya juu(Phd) .

IMG_5040

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mhe. Celina O. Kombani alipotembelea banda la Wizara ya fedha na kuelezea jinsi alivyofurahishwa na ushiriki wa Wizara ya fedha katika Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma.

IMG_5052

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mhe. Celina O. Kombani akisani kitabu cha wageni. Picha zote na Scola Malinga – Hazina- Tanzania.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 1758

Trending Articles