Quantcast
Channel: MO BLOG » Admin
Browsing all 1758 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

What If Famous Brands Make Unexpected Products

Famous brands are recognized for their flagship products, but would their brand shine on other products? Like if Crocs actually developed an umbrella. Would it be legit? Lipton Cigarettes. The...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ridhiwani azidi kupeta Chalinze

 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akimnadi mgombea wa nafasi ya ubunge jimbo la Chalinze  kupitia CCM Ndugu Ridhiwani Kikwete kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye kijiji cha Mazizi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wajumbe wa Bunge maalum la Katiba waonywa kuweka mbele maslahi ya taifa

Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa nchini Peter Kuga Mziray (katikati) akitoa tamko la Kamati ya Uongozi wa Baraza hilo leo mjini Dodoma juu ya mwenendo wa Bunge Maalum la Katiba ambapo aliwataka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wahudumu Hoteli Iringa mbaroni kwa tuhuma za kumwibia Mzungu

Kamanda wa polisi mkoani Iringa Kamishina Msaidizi Ramadhan Mungi. MNAMO TAREHE 27/03/2014 MAJIRA YA SAA 01:00HRS HUKO SIASA NI KILIMO  KATA YA GANGILONGA MANISPAA YA  IRINGA. WATU WASIOFAHAMIKA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ze Katuniz Ze Wajumbez wa Bungez Maalumz la Katibaz inawahusu!

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kamati ya elimu yajadili rasimu ya sheria na hati ya mfuko wa Afya Gairo

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Gairo, Godlove Nnko akiwakilisha mada yake wakati wa kikao cha kamati Elimu Afya na Maji ya Halmashauri ya Wilaya ya Gairo, lengo la kikao hicho ni kujadili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Maoni: Serikali tatu au muungano halisi kipi kinatakiwa?

Dr.Kilahama -Mwenyekiti, Kamati ya Misitu Duniani chini ya FAO na Mkurugenzi Mstaafu-Idara ya Misitu na Nyuki, Wizara ya Maliasili na Utalii, Jamhuri wa Muungano Tanzania. Na Dkt. Felician Kilahama,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Maelfu wajitokeza kuuga mwili wa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara Marehemu John...

 MWILI WA ALIYEKUWA MKUU WA MKOA WA MARA JOHN GABRIEL TUPA UKITOLEWA KWENYE NDANI YA MAKAZI YAKE  WAOMBOLEZAJI WAKIWA NYUMBANI KWA ALIYEKUWA MKUU WA MKOA  KUTOKA KUSHOTO KAIMU KAMANDA WA POLISI MKOA...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ridhiwani aendelea kuzisaka kura jimbo la Chalinze

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM,Ridhiwani Jakaya Kikwete akipandisha bendera kwenye shina la wakereketwa wa CCM la Zinduka katika Kijiji cha Chahua,Kata ya Bwilingu Machi 27,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wakazi wa singida washauriwa kununua ving’amuzi kwa mawakala walioteuliwa

Meneja Mawsiliano TRCA, Bw. Innocent Mungy. Na Nathaniel Limu, Singida WAKAZI wa Manispaa ya Singida wameshauriwa kununua ving’amuzi kwa wakala walioteuliwa na mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA),...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Skylight Band yazidi kuwakuna mashabiki wake ndani ya kiota cha Thai Village

 Waimbaji wa Skylight Band kutoka kushoto Hashim Donode, Digna Mbepera, Winfrida Richard na Aneth Kushaba AK47 wakitoa burudani kwa mashabiki wao Ijumaa iliyopita kwenye uwanja wao wa nyumbani Thai...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RITA kushirikiana na shule kutoa vyeti vya kuzaliwa Wanafunzi

Hivi karibuni Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) ulizindua zoezi la Usajili na Kutoa vyeti katika Shule za Msingi katika Manispaa ya Ilala Jijini Dar es Salaam. Zoezi hili  ni sehemu ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kampuni kubwa za Ujenzi kutoka Uturuki zavutiwa na Tanzania

Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya KAYA Bw. Orhan Babaoglu (kushoto) akiwasilisha kwa Waziri wa Ujenzi Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, utambulisho wa makampuni ya Uturuki ambayo yamefungua ofisi hapa nchini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mbunge wa Nzega, Dk. Kingwangalla: TCME wameupotosha Umma

Mbunge wa Nzega, Dk. Khamis Kigwangalla.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mkutano Mkuu TATOA

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Pinda ahudhuria ibada ya kumwombea Hayati Tupa

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara, John Tupa kwenye viwanja vya Nyerere mjini Dodoma  Machi 28, 2014.Wengine pichani ni Waziri Mkuu Mstaafu, Edward...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Video: Kwa nini wanawake hawachaguani?

Ni swali ambalo kila mtu huwa anajiuliza hasa ukizingatia kuwa takwimu zinaonesha kwamba wanawake ni wengi zaidi ya wanaume katika jamii. Kama ni hivyo, kwa nini wagombea wengi wa nafasi mbali mbali...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Pinda kukutana na surprise leo Dodoma

Stori: Ojuku Abraham WAZIRI Mkuu Mheshimiwa Mizengo Pinda leo atakutana na ‘surprise’ ya aina yake, wakati atakapokabidhi tuzo kwa mwanamke bora wa mwaka, ambaye hadi sasa bado hajafahamika ni nani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ridhiwani aiteka Pera

Mwananchi wa Kata Pera waahidi kumpigia kura Ridhiwani Kikwete tarehe 6 mwezi wa nne baada ya kuridhishwa na Hotuba zake zinazogusa changamoto zao kama elimu, maji, zahanati, barabara na namna...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wanafunzi wa UDOM mwaka wa mwisho, waahidi kujiunga na PPF

Meneja Uhusiano na Masoko wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Lulu Mengele, akitoa mada kuhusiana na huduma mbalimbali zitolewazo na Mfuko huo kwenye semina iliyoandaliwa na Mfuko huo kwa wanafunzi wa mwaka...

View Article
Browsing all 1758 articles
Browse latest View live