Quantcast
Channel: MO BLOG » Admin
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1758

Ridhiwani aendelea kuzisaka kura jimbo la Chalinze

$
0
0

CH 1

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM,Ridhiwani Jakaya Kikwete akipandisha bendera kwenye shina la wakereketwa wa CCM la Zinduka katika Kijiji cha Chahua,Kata ya Bwilingu Machi 27, 2014.(Picha na Othman Michuzi).

CH 2

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM, Ridhiwani Jakaya Kikwete akiwasalimia wakina Mama wa jamii ya watu Wafugaji (Wamasai) wakati alipowasili kwenye Kijiji cha Matuli kwa ajili ya kuendelea na Mikutano ya Kampeni zake za kuomba ridhaa ya kuwa Mbunge wa Jimbo la Chalinze.

CH 3

CH 4

34

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM,Ridhiwani Jakaya Kikwete akishiriki kucheza muziki na wananchi wa Kijiji cha Matuli,Kata ya Bwilingu Machi 27, 2014,wakati wa moja ya Mikutano ya Kampeni zake za kuomba ridhaa ya kuwa Mbunge wa Jimbo la Chalinze.(Picha na Othman Michuzi).  

Viewing all articles
Browse latest Browse all 1758

Trending Articles