Quantcast
Channel: MO BLOG » Admin
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1758

Video: Kwa nini wanawake hawachaguani?

$
0
0

Untitled 11

Ni swali ambalo kila mtu huwa anajiuliza hasa ukizingatia kuwa takwimu zinaonesha kwamba wanawake ni wengi zaidi ya wanaume katika jamii. Kama ni hivyo, kwa nini wagombea wengi wa nafasi mbali mbali za uongozi ambao ni wanawake hushindwa katika chaguzi? Je, ni kwamba wanawake hawapendi kuwapigia kura wanawake wenzao? Na kwa nini wanawake hawachaguani?

Sikiliza maoni ya wadau wengi hapa kwa kutazama video hii:


Viewing all articles
Browse latest Browse all 1758

Latest Images

Trending Articles



Latest Images