Quantcast
Channel: MO BLOG » Admin
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1758

Kamati ya elimu yajadili rasimu ya sheria na hati ya mfuko wa Afya Gairo

$
0
0

001

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Gairo, Godlove Nnko akiwakilisha mada yake wakati wa kikao cha kamati Elimu Afya na Maji ya Halmashauri ya Wilaya ya Gairo, lengo la kikao hicho ni kujadili rasimu ya sheria ndogo na hati rasmi ya uanzishwaji wa mfuko wa afya ya jamii(CHF) katika Halmashauri ya Wilaya Gairo ( kushoto), Diwani kata ya Chanjale pia Mwenyekiti wa Elimu ya Afya ya Jamii Marima Maiko, kikao hicho kimefanyika Machi 26, 2014 katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya Gairo.

002

Afisa Matekelezo wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Gabriel Gregory  akichangia mada katika kikao hicho.

 003

Wajumbe wa kamati ya Elimu Afya na Maji wakifuatilia mada mbalimbali wakati wa kikao cha kujadili rasimu ya sheria ndogo na hati rasmi ya uanzishwaji wa mfuko wa afya ya jamii (CHF)katika Halmashauri ya Wilaya Gairo.

004

Mjumbe akinyosha kidole kuomba kuchangia mada.

005

Kaimu Mkurugenzi Idara ya Huduma  za Sheria Tamisemi,Triphonia Kisiga (katikati), Mwanasheria Halmashauri ya Wilaya ya  Gairo Bw.Tumsime Kiliba (kushoto), na Mwanasheria kutoka Wizara ya Afya Bw.Metta Nahonyo. wakijadiliana jambo wakati wa kikao hicho.

 006

Wajumbe wa kamati ya Elimu Afya na Maji wakifuatilia ratiba katika ubao wa matangazo nje ya ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya  Gairo kabla ya kuanza kwa kikao hicho.

007

Mwanasheria Halmashauri ya Wilaya ya  Gairo Bw.Tumsime Kiliba (kushoto), Afisa Matekelezo wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF),  Gabriel Gregory  (katikati), wakijadiliana jambo nje ya ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Gairo baada ya mapumziko (watatu), Mwanasheria kutoka Wizara ya Afya Bw.Metta Nahonyo.(PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE -GAIRO MOROGORO).


Viewing all articles
Browse latest Browse all 1758

Trending Articles