Warsha ya Kimataifa kuhusu Maendeleo, miundo mbinu na Vituo vya Maji yamalizika
Mkuu wa Chuo cha Maendeleo ya Maji, Dr Shija Kazumba akibadilishana mawazo na washiriki wa warsha ya kimataifa kuhusu maendeleo, Miundo mbinu na Vituo vya Maji katikati ni Dr.Anderies Jordaan kutoka...
View ArticleFarmers Associations Strengthen Voice in SAGCOT
Jennifer Baarn, Deputy CEO SAGCOT Centre Ltd, Jacqueline Mkindi, Executive Director TAHA, Janet Bitegeko, Executive Director ACT. -Initiative to generate US$1.2 billion revenue -2 million people will...
View Article[AUDIO]: Kipindi cha familia kutoka Jamii Productuion…BAJETI KATIKA FAMILIA...
Photo credits moneymanagement.org Karibu katika kipindi cha FAMILIA kutoka Jamii Production. Katika kipindi hiki, tumeingia katika sehemu ya pili ya mjadala kuhusu BAJETI KATIKA FAMILIA ambapo mbali...
View ArticleUzinduzi wa kampeni ya Taifa ya kuelimisha jamii kuhusu rasimu ya Pili ya...
Jaji Mkuu Mstaafu Mh. Thomas Mihayo akitoa ufafanuzi wa uzinduzi wa Rasimu ya pili ya Katiba Mkurugenzi Mtendaji wa Haki za Binadamu Bi. Helen Simba akieleza kuhusika kwa haki za Binadamu katika...
View ArticleNape aunguruma Shinyanga, awazoa wawili kutoka CHADEMA
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiangalia matembezi ya mshikamano wakati yakiingia uwanjani kabla hajaanza kuhutubia wakazi wa Shinyanga mjini. Wakazi wa Shinyanga mjini wakiwa na...
View ArticleUkraine – Further Signs of Separation as Clashes Erupt in Simferopol
Further violence in the Crimea as Pro-West and Russian supporters clash in Simferopol – Photo BBC On Wednesday pro-Russian separatists clashed with supporters of Ukraine’s new ‘pro-West’ leaders in...
View ArticleMkosaji mkuu wa Haki za Binadamu ni serikali – Jaji Mstaafu Mihayo
Mjumbe wa Bodi ya Mtandao wa watetezi wa Haki za Binadamu nchini (Tanzania Human Rights Defenders Coalition) Dkt. Hellen Kijo Bisimba akitoa neno la ufunguzi wakati wa warsha ya siku moja...
View ArticleChadema waendeleza kampeni kijiji cha Kiwele mkoani Iringa
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrfod Slaa akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Kiwele katika mkutano wa kampeni wa uchaguzo mdogo wa jimbo la Kalenga mkoani...
View ArticleTakes a Golden Mind to Appreciate the Humor – Hilarious!
No One Gets Humor Like a Senior A collection of funny cartoons, memes and comics about being a senior, and we know that seniors have the best sense of humor!
View ArticleDTBi – COSTECH watiliana saini ya ushirikiano na Silion Valley ya Marekani
Bw.Carl Davis Jr, Rais wa Silicon Valley Black Chamber of Commerce na Eng. George Mulamula, Mkurugenzi Mtendaji wa DTBi (kulia) wakisaini MOU. Na Mwandishi Wetu, MOblog Tanzania KAMPUNI tanzu ya Tume...
View ArticleJukumu la Ulinzi wa Nchi ni la kila Mtanzania – mdau wa Polisi Jamii
Mdau wa Polisi Jamii Mkoa wa Arusha Bw.Faisal Juma Shahbhai ambaye alikuwa Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Sherehe ya Police Family Day akiwakaribisha wageni mbalimbali waliohudhuria...
View ArticleSkylight Band yazidi kukonga nyoyo mashabiki zake, ni Ijumaa hii tena pale...
Joniko Flower akiongoza safu ya Skylight Band kutoa burudani kwa mashabiki wa Bendi hiyo Ijumaa iliyopita kwenye kiwanja chao cha Nyumbani Thai Village Masaki jijini Dar…. Ni kila Ijumaa zote za wiki...
View ArticleTOTAL yazindua Awango kumaliza tatizo la upatikanaji wa Umeme kwa Watu wa...
Mgeni rasmi, Waziri wa Nishati na Madini, Mh. Prof. Sospeter Muhongo akihutubia wageni waalikwa (hawapo pichani) waliohudhuria katika hafla ya uzinduzi wa bidhaa za AWANGO uliofanyika ndani ya hoteli...
View ArticleKaya zaidi ya 5000 za manispaa ya Iringa kufikiwa na maji safi na salama
Katika kukamilisha ahadi na Mpango wa Maendeleo wa Miaka Mitano (2011 – 2016), Serikali imejidhatiti kuwafikishia maji safi na salama wakazi wa zaidi ya kaya 5000 za Manispaa ya Iringa kufikia katikati...
View ArticleBreaking News: Basi lagonga kichwa cha Treni na kugawanyika vipande viwili...
Basi la Bunda lililokuwa linatoka Dodoma kuelekea Mwanza limegonga kichwa cha Treni kilichokuwa kinatoka Aghondi Itigi na kusababisha kifo cha abiria mmoja na wengine kujeruhiwa vibaya. Mkuu wa Wilaya...
View ArticleWorld Bank defers $90m loan to Uganda due new anti gay law.
President Museveni signed the controversial bill on Monday The World Bank has postponed a $90 million loan to Uganda after the country new anti gay law has drawn harsh criticism from across the...
View ArticleSomalia: Car bomb leaves 11 dead in Mogadishu
A car bomb in Mogadishu left at least 11 dead after targeting a cafe. Photo – Al Jazeera A car bomb detonated in a Mogadishu neighborhood destroying the façade of a café which was frequently visited...
View ArticleVerdict given to Anelka for ‘quenelle’ salute
The inverted Nazi or ‘quenelle’ salute has strong connotations with Antisemitism: Photo – The Telegraph French striker for West Bromwich Albion, Nicolas Anelka, has been banned for five games and...
View ArticleAfisa mstaafu wa NMB afariki dunia kwenye ajali ya Basi na Treni
Mganga mfawidhi wa hospitali ya wilaya ya Manyoni, Dk.Kitundu Jackson ,akitoa maelezo kwa waandishi wa habari juu ya mapokezi ya majeruhi wa basi la bunda lililogonga kichwa cha Treni leo.Picha zote...
View ArticleSikinde yaanza kuipua nyimbo mpya
Hatimaye bendi kongwe, bendi pekee ambayo imepata kuwa mabingwa wa muziki nchini mara zote mbili ambazo mashindano hayo yamepata kufanyika, bendi ya Mlimani Park Orchestra “Sikinde Ngoma ya Ukae”...
View Article