Quantcast
Channel: MO BLOG » Admin
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1758

Warsha ya Kimataifa kuhusu Maendeleo, miundo mbinu na Vituo vya Maji yamalizika

$
0
0

IMG_2425

Mkuu wa Chuo cha Maendeleo ya Maji, Dr Shija Kazumba akibadilishana mawazo na washiriki wa warsha ya kimataifa kuhusu maendeleo, Miundo mbinu na Vituo vya Maji katikati ni Dr.Anderies Jordaan kutoka Afrika Kusini. kushoto aliye vaa shati jeupe ni Afisa Taaluma kutoka UN yenye ofisi zake nchini Ujerumani Dkt. Mathew Kurian Warsha hiyo ya siku mbili ilifanyika hapa nchini na  iliwajumuisha watalamu mbali mbali kutoka vyuo  vikuu vya kimataifa.

IMG_2417

Washiriki wa Warsha pamoja na watalamu kutoka chuo cha Maji Tanzania.(Picha na Chris Mfinanga).

IMG_2413


Viewing all articles
Browse latest Browse all 1758

Trending Articles