Quantcast
Channel: MO BLOG » Admin
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1758

[AUDIO]: Kipindi cha familia kutoka Jamii Productuion…BAJETI KATIKA FAMILIA (Pt II)

$
0
0
written-budget

Photo credits moneymanagement.org

Karibu katika kipindi cha FAMILIA kutoka Jamii Production.

Katika kipindi hiki, tumeingia katika sehemu ya pili ya mjadala kuhusu BAJETI KATIKA FAMILIA ambapo mbali na historia ya bajeti, pia tumesisitizwa kuhusu umuhimu wake, namna ya kulitekeleza na mengine mengi.

Wachangiaji studio walikuwa ni Amos Cherehani ambaye ni mtaalamu wa masuala ya fedha, Denzel Musumba na Mubelwa Bandio

KARIBU UUNGANE NASI


Viewing all articles
Browse latest Browse all 1758

Trending Articles