Kumekucha Tamasha la Kimataifa la 33 la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo
Kikundi cha Sanaa cha TaSUBa wakifanya vitu jukwaani kwenye moja ya tamasha hilo 2013 jukwaani -Kufanyika Septemba 22 hadi 28 -Vikundi zaidi ya 40 vinatarajiwa kutoa burudani -wadau na wadhamini...
View ArticleWaziri Nyalandu awang’oa Vigogo Idara ya Wanyamapori
Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu. Dar es Salaam, Tanzania Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu ametangaza kuwang’oa viongogo wa ngazi ya juu katika Idara ya wanyamapori...
View ArticleExcellent Reading – Real Life Stories
Excellent reading; read all; the 9th 10th are masterpieces!! MUST READ ALL 14 ONE LINE STORIES… The following stories have wonderful shades of emotions. These are based on true incidences both...
View ArticleUfafanuzi (Commentary) Kifungu cha 25 cha Sheria Namba 83 ya Mabadiliko ya...
MADARAKA NA MIPAKA YA BUNGE LA KATIBA LA TANZANIA “Madaraka yake Yameminywa na Mchakato, Sheria Na Muundo Wake” . Bunge la Katiba halina mamlaka ya kubadili rasimu ya katiba mpya...
View ArticleVijana kuandaliwa kuwa chachu ya maendeleo ya jamii
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Pro. Elisante Ole Gabriel akifafanua jambo wakati alipokutana na Mkuu wa Kampuni ya TATA Africa Holdings (Tanzania) Ltd...
View ArticleTwiga yajipanga kubadilisha mkakati wa kibiashara
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Saruji ya Twiga (TPCC) Alfonso Rodriquez (wa pili kushoto) akikabidhi zawadi kwa msambazaji bora wa mwaka wa bidhaa za kampuni hiyo Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni...
View ArticleUzinduzi wa Albamu ya Extra Bongo: Red Carpet ya Dar Live!
Baadhi ya safu ya wanenguaji mahiri wa kiume wa Extra Bongo. Amini akishoo Love na Linah (kushsoto) pamoja na mwimbaji wake. Baadhi ya safu ya wanenguaji wa kike mahiri wa Extra Bongo. Wanenguaji...
View ArticlePikipiki aina ya Hero Dawn yazinduliwa Tanzania
Mgeni rasmi katika uzinduzi wa aina mpya ya Pikipiki ijulikanayo kwa jina la Hero Dawn Bw. Subhash Patel (katikati) akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa Pikipiki hizo zinazotengenezwa na...
View ArticleFirst African Blogger Awards now open for entries
Entries to the 2014 African Blogger Awards (http://www.africanbloggerawards.com), the continent’s very first awards programme that measures online and social influencers’ reach and influence through...
View ArticleDar Holds Indian Food Festival
Meya wa Kinondoni akipokea zawadi ya unga kutoka kwa mwakilishi wa banda la Azam. Meya wa Kinondoni Mh.Yusufu Mwenda(kushoto)akifatiwa na balozi wa India Debnath Shaw na familia zao. Mh.Yusuf...
View ArticleHalmashauri ya Singida yatumia shilingi 89 milioni kugharamia ujenzi wa soko
Naibu waziri Fedha na Uchumi na Mbunge wa jimbo la Iramba magharibi, Lameck Nchemba Mwigullu, akizindua jengo la soko la kisasa la kijiji cha Old Kiomboi wilaya ya Iramba.(Nathaniel Limu). Na...
View ArticleShafii Dauda achukua fomu kuwania nafasi ya Uenyekiti TASWA
Mwandishi wa kujitegemea Bw. Hussein Omary Kushoto akilipa fedha tayari kwa kuchukua fomu ya uchaguzi wa nafasi ya Uenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo (TASWA) kwa niaba ya Bw....
View ArticleTogolani Mavura ateuliwa kuwa Msaidizi wa Rais (Hotuba)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bwana Togolani I. Mavura (pichani) kuwa Msaidizi wa Rais (Hotuba) kuanzia Februari 8, mwaka huu, 2014. Taarifa...
View ArticleSerikali yaahidi ushirikiano na Viongozi wa Dini
Mwenyekiti wa maandalizi ya Kongamano la Viongozi wa Dini mikoa ya Lindi na Mtwara MohamedSenani akiwakaribisha wajumbe katika kongamano la viongozi hao katika ukumbi wa VETA mjini Mtwara. Kongamano...
View ArticleCHAMA cha Mapinduzi (CCM), chajiingiza matatani baada ya kuwapangisha...
CHAMA cha Mapinduzi (CCM), kimejiingiza matatani baada ya kuwapangisha wafanyabiashara wawili katika flemu moja la kufanyia biashara. Akizungumza jana jijini Dar es Salaam mfanyabishara Charles Msigwa...
View ArticleZSSF kuboresha mipango miji Zanzibar
Mkurugenzi wa Kampuni inayojihusisha na mafunzo ya ufundi ya European Erun ya Nchini Uingereza Bwana Ramesh Kumar akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, wa Pili kutoka...
View ArticlePinda akutana na Rais wa Kampuni ya Schlumberger
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Rais wa kampuni ya Schlumberger Kanda ya Afrika na Ulaya, Bibi Catherine MacGregor kabla ya mazungumzo yao, kwenye makazi ya Waziri Mkuu, mjini Dodoma...
View ArticleBritish Council Launches Trials of Improved “Baseline” English Course Materials
Ongoing Trials at Hassanal Damji Memorial Trust Secondary School in Bagamoyo. Newly Updated Materials Promise to Strengthen English Language Teaching and Learning in Secondary Schools The British...
View ArticleBank of Africa Tanzania Mourns Amb. Kazaura
BANK OF AFRICA TANZANIA Managing Director Ammishdai Owusu – Amoah Signing Condolence book at residence of Amb. Kazaura who was Board Chairman of BANK OF AFRICA TANZANIA. From Left Managing director...
View Article