Quantcast
Channel: MO BLOG » Admin
Browsing all 1758 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Serikali yashauriwa kuajiri Waganga wa Jadi kupunguza uhaba wa watumishi wa Afya

Kaimu meya mstahiki wa manispaa ya Singida, Hassan Mkata akizungumza kwenye kikao cha kawaida cha Baraza la Madiwani wa Manispaa ya Singida kilichofanyika mkoani Singida.Kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dedicated to all Wives by their dear Husbands

Which is the most dangerous Alphabet Answer — ” W “. It is tension generator.. All the worries get initiated with ‘ w ‘. . Who Why What When Which Whom Where War Wine Whisky Wealth Work Worries Woman...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Chadema wazidi kuchanja mbuga uchaguzi mdogo jimbo la Kalenga

Meneja wa Kampeni za mgombea ubunge katika uchaguzi mdogo wa jimbo la Kalenga kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Alphonce Mawazo na mgombea, GraceTendega, wakipokelewa na wakazi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Bunge lakanusha tuhuma za Paul Makonda kuhusika na wizi wa Simu Bungeni

Kitengo cha ulinzi na usalama cha Bunge kimetoa taarifa ya kukanusha, tuhuma zilizosambazwa katika mitandao ya kijamii zikimhusisha Mbunge wa Bunge maalumu la Katiba ndugu Paul Makonda (PICHANI)...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Bodi ya Vyakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar yakubaliana na Mfanyabiashara...

Mmiliki wa Mchele uliodhibitishwa kuwa mbovu na kutofaa kwa chakula na Bodi ya vyakula, dawa na vipodozi Zanzibar Bwana. Mohamed Mauly akizungumza na waandishi wa habari katika zoezi la kurejeshwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ajali mbaya iliyotokea Mweka ,Moshi Vijijini iliyohusisha VX na Daladala

Ajali imehusisha gari ya abiria aina ya hiace inayofanya safari zake kati ya Mweka na Moshi mjini na Landcruiser VX iliyokuwa  imewabeba  wanafunzi wa chuo cha usimamizi na uhifadhi wa wanyama pori...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mkulima akamatwa na Bhangi misokoto 888 yenye uzito gramu 44

Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Singida,SACP Geofrey Kamwela. Na Nathaniel Limu, Singida JESHI la Polisi mkoa wa Singida linamshikilia Mariamu Songeraeli (32) mkulima mkazi wa kijiji cha Nselembwe...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Despite poaching Tanzania’s tourism sector generates nearly 4 billion USD...

Embassy of the Federal Republic of Germany in Dar, Charge d’Affaires,  Mr Hans Koeppel speaks to Hyatt Regency the Kilimanjaro Hotel, General Manager, Trevor Saldanha during the cocktail party...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Radio Uhuru walivyouaga mwaka 2013 kwa raha zao

 Usiku wa kuamkia leo, wafanyakazi wa Uhuru FM, Redio ya wananchi waliamua kujiachia kivyao vyao katika Bonge la tafrija la kuuaga mwaka 2013 na kuukaribisha mwaka mpya. Tafrija hiyo iliyoongozwa na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Shy-Rose aiomba Serikali ya Tanzania kuwezesha Watanzania waifahamu EAC na...

Katibu wa Wabunge wa Tanzania Katika Bunge la Afrika Mashariki, Mhe. Shy-Rose Bhanji (pichani) amerejea nchini baada ya ziara ya siku 10 ya Wabunge wa EALA  nchini Kenya na hicho ndicho alichokisema...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa Tanzania azindua CD ya wasanii...

Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF), Simon Mwakifwamba, akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari pamoja na wasanii Februari 28,2014 katika ukumbi vijana kinondoni jijini Dar es...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JK hakupokea maombi ya marekebisho ya Posho Bunge la Katiba – Ikulu

Katika siku za karibuni, kumekuwepo na habari nyingi, baadhi zenye kuchanganya umma na nyingine hata zikidai kuwa baadhi ya wafanyakazi nchini wanapanga kuandamana endapo Rais wa Jamhuri ya Muungano...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Fursa kutoka Global Talent Search

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

A Smile!

The smile of a child A SMILE It costs nothing and is worth a lot. A SMILE It enriches those who receive, without impoverishing the giver. A SMILE It lasts only a moment, but its effects last forever....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jumuiya ya Maradhi yasioambukiza (ZNCDA) yazinduliwa rasmi Zanzibar

Kaimu Katibu wa Jumuiya ya Maradhi yasiyoambukiza Zanzibar (ZNCDA) akitoa maelezo ya Jumuiya yao katika uzinduzi wa Jumuiya hiyo uliofanyika viwanja vya Kibanda maiti Mjini Zanzibar. Mwenyekiti wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Worth Reading: The Power of Commitment

Was our failure to succeed really due to a lack of time, some unlearned skill, or a much deeper self-esteem issue? Well, we could probably get a great conversation going as to why so many people have...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Meya wa Marekani ataka Serikali na Taasisi zijenge wajibu wa Kitaaluma...

Meya wa Jimbo la California Mstahiki Osby Davis  akibadilishana mawazo na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alipofika Ofisini kwake Vuga Mjini Zanzibar kuzungumza naye akiuongoza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Simba Cement kuendelea kudhamini Kilimanjaro Marathon

Baadhi ya maofisa wa kampuni ya Saruji Tanga (TCCL) wakishiriki mbio za mwaka huu za Kilimanjaro Premium Lager Marathon zilizofanyika mjini Moshi Mkoani Kilimanjaro jana. Tanga Cement ilikuwa mmoja wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

McQueen Makes History at the 2014 Oscars

History was made last night when 12 Years A Slave won the award for best film making director Steve McQueen the first black director to take home the coveted prize in 86 years of the Oscars. McQueen’s...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tamasha la ‘Shtuka Sasa’ la Zantel lapongezwa na wananchi Zanzibar

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Chege Chigunda akiimba kwenye onesho la muziki kisiwani Zanzibar iliyoandaliwa na kampuni ya simu ya mkononi ya Zantel iitwayo Shtuka Sasa. Madee akitoa burudani...

View Article
Browsing all 1758 articles
Browse latest View live