Pinda atoa pole kwa Wakulima walioshambuliwa na watu wanaosadikiwa kuwa ni...
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na viongozi wa wilaya ya Kiteto baada ya kuwasili wilayani humo Januari 16, 2014 kufuatilia suala la mauaji ya wakulima. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)....
View ArticleMtoto aibiwa katika mazingira ya kutatanisha
Kamanda wa polisi mkoani Singida, SACP Geofrey Kamwela, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusiana na tukio la kupotea kwa mtoto. Na Nathaniel Limu, Singida MTOTO Meristina Samwel...
View ArticleSkylight Band yazidi kuwateka mashabiki wake ndani ya jiji la Dar
Hashim Donode mzee wa Oldies akitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band sambamba na Digna Mbepera pamoja na Winnie kwenye show yao ya Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini...
View ArticleDar yatangazwa ya 39 sehemu bora za kwenda kutembea duniani
Na Damas Makangale, MOblog Tanzania JIJI la Dar es Salaam nchini Tanzania ni moja ya majiji maarufu ambalo limepata nafasi ya 39 katika majiji ambayo watu mashuhuri na watalii wanaweza kutembelea...
View ArticleWaziri aburuzwa mahakamani kwa kosa la kukiuka sheria za ajira
Naibu Waziri wa Kazi, Ajira na Maendeleo ya Vijana, Dkt. Mahongoro Mahanga akitoka katika chumba cha mahakama ya kazi, Tume ya Usuluhishi na Upatanishi wiki iliyopita siku ya Jumanne baada ya kusomewa...
View ArticleEgypt: Journalism under siege?
Marie Colvin Sunday Times Journalist covering Egypt uprising in 2011 at Tahir Square In some ways Egypt has come full circle since the beginning of the Arab Spring in 2011. After a year at the top of...
View ArticleNgumi zapigwa tena Bunge la Ukraine
Picha ya ajabu inaonyesha wabunge wakishikana mashati wakati wa mjadala huo na wa bajeti ya serikali. .Bingwa wa zamani wa masumbwi uzito wa juu duniani ashuhudia ngumi zikipigwa kati ya wabunge .Ni...
View ArticleUganda’s Museveni –‘Random Breeding’ Causes Homsexuality
President Yoweri Kaguta Museveni By Special Correspondent A Ugandan newspaper has reported the president refused to approve a controversial bill that would imprison homosexuals for life, saying there...
View ArticleMtemvu atoa Madawati 500 yatakayogawiwa Shule za Msingi Jimboni Temeke
Madiwani wakipiga makofi ikiwa ni ishara ya kumpongeza Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu (wa pili kushoto) kukata utepe wakati wa hafla ya kukabidhi madawati 500 yenye thamani ya sh. mil....
View ArticleAfter Mandela’s death, ANC faces growing risk of losing power in South Africa
CAPE TOWN, South Africa — With the death of Nelson Mandela, the political party and broad coalition he helped to bind together are coming apart at the seams. The African National Congress remains in...
View ArticleShirika la Nyumba NHC latoa Mafunzo kwa Vikundi vya Vijana, lengo ni kubadili...
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Nyumba NHC Bw. Nehemia Kyando Mchechu akizungumza wakati wa maadalizi ya ufungaji wa mafunzo ya vijana wawakilishi wa vikundi kutoka mikoa mbalimbali kuhusu...
View ArticleBirthday ya Miaka 3 ya kuzaliwa Janet Albart Jackson
Marafiki zake. Tafrija hiyo ilifanyika nyumbani kwa bibi yake Kigamboni jijini Dar es Salaam. Janet Jackson akilishwa keki na bibi yake Suzana Sena ikiwa ni sehemu ya kusherehekea birthday ya mjukuu...
View ArticleThe Commonwealth Games Queen’s Baton Arrives in Dar es Salaam on 18 January
The Glasgow 2014 Commonwealth Games, British High Commission, Tanzania Olympic Committee and UNICEF Team up to Stop Violence Against Children in Tanzania. The Glasgow 2014 Commonwealth Games Queen’s...
View ArticleObama Marriage Problems Threaten To Overshadow Michelle’s B-Day
By Tony Allen-Mills | the Australian A LEADING American divorce mediator will visit Washington this week to offer members of Congress advice on ending the “tiresome bickering” between Republicans and...
View ArticleJK amtetua Mhandisi Paul Masanja kuwa Kamishna wa Madini nchini
Mhandisi Paul Mhangilwa Masanja. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Mhandisi Paul Mhangilwa Masanja kuwa Kamishna wa Madini nchini. Taarifa iliyotolewa...
View ArticleSerikali ya Tanzania kuendelea kuimarisha Jumuiya ya Afrika Mashariki
Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki Samuel Sitta (katikati) akifafanua kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) jijini Dar es salaam kuhusu Serikali ya Tanzania ilivyodhamiria kuimarisha...
View ArticleBBC presenter Komla Dumor dies at 41
BBC TV presenter Komla Dumor has died suddenly at his home in London at the age of 41, it has been announced. Ghana-born Dumor was a presenter for BBC World News and its Focus on Africa programme. One...
View ArticleKifimbo cha Malkia cha wasili nchini Tanzania
Kiongozi wa msafara wa Kifimbo cha Malkia kwa Ukanda wa Afrika Mashariki Kipchoge Keino (kulia) akimkabidhi Kifimbo cha Malkia kwa Mkuu wa msafara kwa Tanzania Gullam Rashid mara baada ya kuwasili...
View ArticleViongozi wa SMZ kikaangoni
Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Mohamedraza Hassan Dharamsi akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu maendeleo ya Jimbo lake tokea alipochaguliwa kuwa mwakilishi Mwezi Februari mwaka...
View ArticleNape azindua kampeni za Udiwani kata ya Magomeni Wilaya ya Bagamoyo
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akisalimiana na baadhi ya viongozi wa CCM wilaya ya Bagamoyo alipowasili kwa ajili ya ufunguzi wa kampeni za udiwani kata ya Magomeni. Katibu wa NEC...
View Article