Quantcast
Channel: MO BLOG » Admin
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1758

Birthday ya Miaka 3 ya kuzaliwa Janet Albart Jackson

$
0
0

01

Marafiki zake. Tafrija hiyo ilifanyika nyumbani  kwa bibi yake Kigamboni jijini Dar es Salaam.

02

Janet Jackson akilishwa keki na bibi yake  Suzana Sena ikiwa ni sehemu ya kusherehekea birthday ya mjukuu wake ya kutimiza miaka 3 hafala hiyo ilifanyika nyumbani kwao Kigamboni.

03

Janeti  Albart akimlisha keki dada yake Suzan Timothi wakati wa birthday  yake ya kutimiza miaka 3 mnamo siku ya 10 January 2014.hafala hiyo ilifanyika nyumbani kwao Kigamboni Dar es Salaam.

04

Joyce Sena  akilishwa keki na mwanae Janet  Albart wakati wa Birthday yake ya kutimiza miaka 3 .hafala hiyo ilifanyika nyumbani kwa babu na bibi yake Kigamboni jijini Dar es Salaam.

05

Hongera mwanangu kwa kutimiza miaka 3. Janet Jackson akibusiwa na mama yake mazazi Joyce sena wakati wa Birthday yake.

06

Janet  akifurahia jambo na rafiki yake Joyce wakati wa barthdya yake.

07

Baadhi ya Marafiki wa janet wakiwa katika picha nya pamoja ikiwa ni sehemu ya kumpongeza kwa kutimiza miaka 3.

08

 

Janet Albart akiwa amepozi kwenye picha wakati wa kusherehekea birthday yake ya kutimiza miaka 3.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 1758

Trending Articles