Quantcast
Channel: MO BLOG » Admin
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1758

Skylight Band yazidi kuwateka mashabiki wake ndani ya jiji la Dar

$
0
0

DSC_0118

Hashim Donode mzee wa Oldies akitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band sambamba na Digna Mbepera pamoja na Winnie kwenye show yao ya Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar.

DSC_0049

Divas: Mary Lucos na Winnie wakiwapa raha fans wa Skylight Band.

DSC_0061

Sam Mapenzi akifanya yake jukwaani.

DSC_0056

Aneth Kushaba AK47 sambamba na kikosi kazi cha Skylight Band wakitoa burudani ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar.

DSC_0075

Happy Birthday to you…… Happy Birthday dear Joti……….Happy Birthday to you….Shabiki wa Skylight Band anafahamika kwa jina la Joti (mwenye shati la kaki) alijumuika na marafiki zake kusheherekea siku yake ya kuzaliwa ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar. 

DSC_0076

DSC_0085

Skylight Band wakiendelea kutoa burudani na staili yao ya “Yachuma chuma”.

DSC_0090

Birthday boy Joti akijimwaga na marafiki zake na sebene la Skylight Band.

DSC_0094

Warembo wakionekana kuchizika na Skylight Band.

DSC_0088

Rappa Joniko Flower akitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band.

DSC_0131

Umati wa mashabiki wa Skylight Band ukisebeneka ndani kiota Thai Village.

DSC_0107

Digna Mbepera sambamba na Winnie wakitumbuiza mashabiki wa Skylight Band.

DSC_0148

Mary Lucos akicheza na kuimba na mashabiki wa Skylight Band.

DSC_0135

Ilikuwa full mzuka kwa mashabiki wa Skylight Band….Usipime na sio ya kukosa leo jioni pale pale muda ule ule….,mpango mzima.

DSC_0175

Rappa Joniko Flower akioyesha zawadi ya kinywaji cha PATRON kwa mashabiki wa Skylight Band ambapo mwanadada atakaye sebeneka vizuri atajishindia kinywaji hicho.

DSC_0178

Kutokana na mapenzi kwa makubwa kwa mashabiki wa Skylight Band Mmiliki wa Band hiyo Dr. Sebastian Ndege a.k.a JEMBE aliamua kutoa kinywaji chake hicho kama zawadi kwa mwanadada atakayecheza vizuri staili za bendi hiyo.

DSC_0180

Mzigo huu hapa kazi kwenu….Vijana mate yanawatoka.

DSC_0186

Vijana wa Skylight Band wakionyesha staili zao kwa mashabiki wao.

DSC_0193

Mashabiki wakiangalia kwa umakini staili hizo.

DSC_0199

Warembo wakionyesha makeke yao kwenye jukwaa la Skylight Band.

DSC_0213

Mchujo ukiendelea….

DSC_0224

DSC_0230

Wakaona hawaelekei ikabidi Aneth Kushaba AK 47 awaonyeshe manjonjo yake.

DSC_0237

Hapo je…..vijana wameiva sasa….

DSC_0239

Mashabiki wa Skylight Band ambao ghafla waligeuka kuwa mashabiki wa kuamaua nani mshindi..kwa umakini wakifuatilia burudani hiyo.

DSC_0262

Sony Masamba akionyesha staili mpya ya Skylight Band kwa mashabiki.

DSC_0263

Warembo wakifanya yao jukwaani.

DSC_0300

Mwishowe hawa ndio waliotinga fainali……na kutoka ngoma droo..tofauti ni maumbile tu lakini wote wakali.

DSC_0317

Walipatikana washindi wawili waliotoka ngoma droo kutokana na majaji ambao ni mashabiki…Pichani Sony Masamba akipata Ukodak na washindi hao huku  Aneth Kushaba AK 47 (aliyeipa mgongo camera) akiwa hana mbavu.

DSC_0322

Baada ya zoezi hilo burudani iliendelea ni mwendo wa mduara tu….mambo ya kuzungusha nyonga wadada mpooo pale kati…???

DSC_0326

DSC_0151

Aneth Kushaba AK47 na shabiki wake.

DSC_0156

Petit Man na Winnie wakishow love ndani ya kiota cha Thai Village.

DSC_0097

Hashim Donode na Digna Mbepera wakipata Ukodak back stage.

DSC_0329

Wadau wa ukweli ndani ya Skylight Band Ijumaa iliyopita kwenye kiota cha maraha Thai Village.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 1758

Trending Articles