Rais Kikwete amtembelea Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt. Salmin Amour
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt. Salmin Amour alipomtembelea kumjulia hali nyumbani kwake Zanzibar Jumatatu Januari 13, 2014 baada ya kuhudhuria sherehe za miaka...
View ArticleMzee Arnold Nkhoma atoa shukrani kwa kutimiza miaka 100 iliyoambatana na...
Birthday Boy…Mzee Arnold Nkhoma akiwasili kwenye Kanisa la Mtakatifu Andrew lililopo Magomeni jijini Dar kuhudhuria Ibada ya kutoa shukrani kwa kutimiza miaka 100 akiwa amesindikizwa na mmoja wa...
View ArticleDiva, B 12 na Mchomvu wasimamishwa kazi Clouds Radio
Loveness Diva aliyekuwa akitangaza kipindi cha Ala za Roho. Na.MUSA MATEJA wa Global Publishers. WATANGAZAJI maarufu Bongo wa Redio Clouds Fm ya jijini Dar es Salaam, Hamis Mandi ‘B 12’, Adam Mchomvu...
View ArticleRais Kikwete Mgeni Rasmi Kongamano la Wasanii Ijumaa
Mwenyekiti wa SHIWATA, Cassim Twalib ‘Teacher’ (kushoto). MTANDAO wa Wasanii Tanzania (SHIWATA) umeandaa kongamano la umoja na mshikamano linalofanyika Januari 17 (Ijumaa) kwenye viwanja vya hoteli ya...
View ArticleMakamu wa Rais Dkt. Bilal awajulia hali Mawaziri waliolazwa Muhimbili, Cleopa...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu, Cleopa Msuya, aliyelazwa katika jengo la Moyo Hospitali ya Taifa Muhimbili, wakati...
View ArticleAbiria 48 wanusurika kufa kwenye ajali ya basi la Shabiby
Mkuu wa wilaya ya Singida,Queen Mlozi (mbele ya basi lililopinduka aliyenyoosha mkono) akiangalia basi la Shabiby lililopinduka eneo la kijiji cha Kisaki manispaa ya Singida.Basi hilo ambalo...
View ArticleVodacom yawakutanisha timu za wabunge wa Zanzibar, Muungano na Uganda Miaka...
Ofisa Mkuu wa Mauzo na Usambazaji wa Kampuni ya Vodacom Hassan Saleh akimkabidhi Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Pandu Ameir Kificho kombe lililotolewa na Vodacom kwa ajili ya mshindi wa mechi...
View ArticleNgono yaweza kufanya mtu kuwa nadhifu na kusaidia ukuaji wa seli za...
.Wanasayansi wanasema ngono inaboresha uwezo wa kumbukumbu kwa binadamu .Wasema ngono inaweza kukabiliana na matatizo ya dhiki kwa watu wenye kipato kidogo Na Damas Makangale, MOblog kwa Msaada wa...
View ArticleDiwani mbaroni kwa kuchoma basi la Mtei
Kamanda wa Polisi mkoa wa Singida,SACP Geofrey Kamwela. Na Nathaniel Limu, Singida DIWANI wa kata ya Umyambwa tarafa ya Mungumaji Halmashauri ya Manispaa ya Singida,(CCM) Shaban Satu na watu wengine...
View ArticleUNDP: Tanzania yaongoza katika Mpango wa Majaribio wa Mageuzi wa UN
Mwakilishi mkazi na Mratibu wa Shughuli za Umoja wa Mataifa nchini(Resident Coordinator of the UN System) Bwana Alberic Kacou akimkabidhi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete nakala ya Ripoti ya mwaka...
View ArticleVideo: Mke akatwa Mkono na mumewe huko Geita!
Ikiwa ni muendelezo wa kukufichulia matukio ya Ukatili wa Kijinsia dhidi ya wanawake, kipindi cha Wanawake Live kinachorushwa na Televisheni ya EATV kila Jumanne saa tatu kamili usiku, wiki hii...
View ArticleYa Mungu Mengi… Mwanamke Czech Republic atolewa mawe sita tumboni
Na Damas Makangale, MOblog kwa Msaada wa Mtandao Mwanamke mmoja nchini Czech Republic ametolewa mawe takribani sita katika tumbo lake baada ya kufanyiwa oparesheni kubwa ya upasuaji na madaktari...
View ArticleJealous because of success of others?
Let’s be honest here Have you ever found yourself secretly wishing someone else would fail? I don’t mean you wish them any serious bad luck, only that they don’t become more successful than you?...
View ArticleMadiwani waagizwa kuwachukulia hatua za kisheria maafisa maliasili
Mkuu wa mkoa wa Singida, Dk.Parseko Kone, akizungumza kwenye hafla ya upandaji miti iliyofanyika katika kijiji cha Nkuninkana kata ya Puma wilaya ya Singida. Wakwanza kushoto ni mkurugenzi mtendaji wa...
View ArticleKampuni toka Uholanzi yaingia mkataba na mabasi yaendayo kasi dar
KATIBU Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa),Bwana Jumane Sagini akiongea na waandishi wa habari muda mfupi mara baada ya kusainiwa mkataba wa kusimamia mradi wa mabasi...
View ArticleLegacy of Love
I’ve copied you, Mother My words echo your voice You’re my shining example The one of my choice Not thinking about it I’ve copied your style The way that you walk The way that you smile You...
View ArticleWizara ya Afya Zanzibar imetiliana saini mkataba wa kutoa huduma za magonjwa...
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dk. Mohammed Jiddawi na Dk. Peter McGovern wakitia saini makubaliano ya kuanzisha huduma za Aya ya magonjwa ya akili katika Hospitali ya Makunduchi. Katikati ni Naibu...
View ArticleWanawake wawili wakamatwa na madawa ya Kulevya Mkoani Arusha
Mkuu wa kitengo cha kuzuia na kupambana na madawa ya kulevya Mkoa wa Arusha Mrakibu Msaidizi wa Polisi (ASP) Aben Mgode akiwaonyesha waandishi wa habari misokoto 5000 pamoja na baadhi ya magunia 16 ya...
View ArticleRais Kikwete awaongoza waombolezaji kuaga mwili wa George Liundi Karimjee Dar
Rais Jakaya Kikwete, akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa marehemu, George Liundi wakati wa shughuli za kuagwa mwili huo zilizofanyika kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es...
View ArticleMeli ya Titanic yaanza kutengenezwa upya kwa Dola za kimarekani 165 milioni...
Na Mwandishi Wetu, MOblog Kwa Msaada Mtandao WENGI wa watu nchini China wanapendelea ujenzi wa majengo makubwa ya kihistoria na magari kadhaa yenye muonekano wa alama ya uchina kama ishara ya...
View Article