Quantcast
Channel: MO BLOG » Admin
Browsing all 1758 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Vijana watakiwa kuwa waadilifu katika mapambano dhidi ya Rushwa nchini

Kiongozi wa Mbio za Mwenge taifa Juma Ali Simai. (Picha na Maktaba). Na Anna Nkinda – Maelezo, Lindi Vijana nchini wametakiwa kuwa wa wazi, waaminifu na waadilifu kwani huo ndiyo msingi mkubwa wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akagua miradi mbalimbali na kuzungumza...

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipokelewa na Suleiman Nchambis Mbunge wa Jimbo la Kishapu katika mji wa Maganzo wakati alipowasili rasmi katika Wilaya ya Kishapu leo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Dk. Nchimbi ateta na Watendaji wa Idara ya Uhamiaji Makao Makuu leo

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk. Emmanuel Nchimbi akizungumza na watumishi wa Idara ya Uhamiaji Makao Makuu pamoja na wawakilishi wa idara hiyo Mkoa wa Dar es Salaam (hawapo pichani) kuhusu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kanali Abdulrahman Kinana aanza ziara Mkoani Simiyu, atinga Maswa

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akipokelewa na kusalimiana na wananchi Wilayani Maswa mara baada ya kuwasili akitokae Shiyanga, ambapo anaendelea na ziara yake ya kuimarisho...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waumini wa dini ya kiislamu watakiwa kuwa pamoja katika kuendeleza masuala ya...

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete. Na Anna Nkinda – Maelezo Waumini ya dini ya Kiislam  nchini wametakiwa kuwa pamoja katika kuendeleza masuala ya kiimani bila ya kuhitilafiana kwani hititafu ndogo huzaa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

“Nina cement Kali ya Kuziba Mpasuko TPA”– Dr Mwakyembe

Na. Mwandishi wetu. Waziri wa Uchukuzi Dk Harrison Mwakyembe (pichani) ameipa siku moja Menejimenti ya Mamlaka ya Bandari (TPA) kutaja majina ya watu wanaoiba mafuta katika bomba kubwa la kupakulia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Maafisa Mawasiliano waaswa kuhabarisha na kuelimisha shughuli za Serikali

KATIBU Mkuu wa Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga akiongea na Maafisa Mawasilino Serikalini (hawamo pichani) wakati akifungua mkutano wa tathmini wa awamu ya kwanza ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

What Mom Dad and me thinks

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TIB kuanza uwekezaji kwenye miundombinu ya Reli

Mkurugenzi Mwendeshaji wa Benki ya TIB, Peter Noni (Picha na Maktaba). -Kusudio ni kuharakisha maendeleo ya usafirishaji wa mizigo na mawasiliano Na Damas Makangale, Mbeya BENKI ya Maendeleo Tanzania...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana aendelea na ziara yake mkoa mpya...

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Msanii Fadhil Mungi wa kikundi cha ngoma cha Meatu wakati alipowasili na kupokelewa na uongozi wa Chama Wilaya ya Meatu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tanzania yalitaka Gazeti la Malawi News kuomba radhi kwa upotoshaji

Msemaji wa Serikali ambaye pia ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari Bw. Assah Mwambene akitoa ufanunuzi kwa waandishi wa habari jana mjini Dar es salaam  juu ya taarifa zilizochapishwa na gazeti la Malawi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Semina ya fursa yafanyika leo Morogoro

  Msanii wa muziki wa kizazi kipya Mwansiti Almasi akifafanua namna anavyonufaika na huduma za NSSF,mara tu walipojiunga kupitia kundi lao la Lekadutigite,ndani ya semina ya fursa twendzetu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais kikwete aanza ziara za Marekani na Canada

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete (pichani) ameondoka nchini leo, Jumapili, Septemba 15, 2013, kwenda Marekani na Canada kwa ziara za kikazi ambako miongoni mwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Aha Jokes….A blind man vists the state of Texas!

There once was a blind man who decided to visit Texas. When he arrived on the plane, he felt the seats and said, “Wow, these seats are big!” The person next to him answered, “Everything is big in...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Pinda akutana na Balozi wa China nchini na viongozi wa kampuni ya HUAWEI

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akisikiliza maelezo kuhusu picha ya watawala wa asili wa China kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Huwawei Technologies nchini, Bw. Bruce Zhanga  na Mkurugenzi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Dkt. Kikwete afungua Ubalozi wa heshima San Francisco

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kufungua rasmi ofisi ya ubalozi wa heshima(Honorary Consulate) wa Tanzania jijini San Francisco nchini Marekani.Kulia ni Balozi wa heshima wa Tanzania...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rihanna in Red Dress at New York Fashion Show

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wizara yasema Balozi wa China akiuka taratibu na Sheria za Kidiplomasia

Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa imefuatilia taarifa kwenye vyombo vya habari mbalimbali hapa nchini, kuhusu kushiriki kwa Mheshimiwa Lu Younqing Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mbwa waliotumika kumlinda Prince William jeshini wauawa

-Kwa sababu ya kushidwa kupangiwa majukumu mapya au kupelekwa nyumbani kwa mwana mfalme  Na Damas Makangale Moblog, kwa Msaada wa Mtandao Mbwa wawili walinzi wa Prince William wa Uingereza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Kikwete amtetua Bi. Jacqueline Maleko kuwa Mkurugenzi Mkuu wa TANTRADE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bi. Jacqueline M. Maleko (Pichani) kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TANTRADE)....

View Article
Browsing all 1758 articles
Browse latest View live