Beckham awa balozi wa saa za Breitling for Bentley
David Beckham ameteuliwa kuwa balozi wa saa za kifahari aina Breitling for Bentley duniani ambazo tangu mwaka 2003 zimekuwa ni kielelezo cha ubora wa bidhaa za Uingereza. “Napenda mchanganyiko wa...
View ArticleKatibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana Awasili Mkoani Shinyanga na kuanza...
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akivishwa skafu mara baada ya kuwasili katika mji wa Isaka Wilayani Kahama Mkoani Shinyanga leo asubuhi tayari kuanza ziara yake ya siku nne...
View ArticleTaswa SC, Taswa Queens zatesa bonanza la waandishi Arusha
Unaweza ukadhani kuwa ni wachezaji wa Azam FC, lakini hao ni kikosi cha kwanza cha ‘mauaji’ cha timu ya Waandishi wa Habari za Michezo nchini Taswa SC wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kupambana...
View ArticleMvutano wa Marekani na Urusi (DK 90 za Dunia Capital Radio)
Na watangazaji wetu Bahati Alex kutoka Capital Radio Jijini Dar es Salaam akiwa na Mubelwa Bandio wa Jamii Production Washington DC Hii ni sehemu ya ripoti ya Jamii Production kwenye kipindi cha...
View ArticleRetirement Benefits
At the root of every gray hair, there is a dead brain cell. Someone had to remind me, So I’m reminding you, too. Don’t laugh…. It is all true! Perks of reaching 50 Or being over 60 And heading...
View ArticleNdoa ya mtoto wa Bilionea Aga Khan yavunjika
Na Mo Blog Team Mtoto wa tajiri maarufu hapa duniani Aga Khan amevunja ndoa yake na mwanamama wa Kimarekani ambaye amenunua jumba kubwa la kifahari huko Manhattan lenye thamani ya dola za kimarekani...
View ArticleMavuno makubwa ya Zabibu shambani kwa Mh. Pinda Dodoma leo
Watu wakivuna Zabibu kwenye Shamba la Mheshimiwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda lililopo Zuzu mjini Dodoma leo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu). Bibi Silvana Nhungwe akivuna Zabibu katika shamba la...
View ArticleKampuni ya Gesi yafadhili kampeni ya usalama barabarani Mkoani Lindi
Mhandisi Dk. Ezekial Mganilwa, Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (aliyesimama ) akimualia mgeni rasmi Mheshimiwa Saidi Mtanda, Mbunge wa Jimbo la Mchinga (aliyevaa shati nyeupe) kufungua...
View ArticleWamarekani waadhimisha mwaka wa 12 tangu shambulio la Sept 11
Na Mo Blog Team Leo Wamarekani wanaadhimisha mwaka wa 12 tangu yalipotokea mashambulio katika majengo pacha ya Kituo cha Biashara duniani, World Trade Centre (WTO) na kuua maelfu ya raia wasio na...
View Article“Kili Music Tour 2013″ kuhitimishwa jijini Dar Jumamosi hii kwenye viwanja...
Meneja wa Bia ya Kilimanjaro, George Kavishe akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam kuhusiana na tamasha kubwa la “Kili Music Tour” litakalofanyika siku ya Jumamosi katika viwanja...
View ArticleTigo yakabidhi Bajaji kwa washindi wa droo ya 8 leo Kimara mwisho
Mshindi wa droo ya 8 katika promosheni ya Tigo ‘Miliki Biashara Yako’ Bi. Julieth Weria (25) mkazi wa Kigamboni akionyesha ufunguo wake wa Bajaji kwa furaha mara baada ya kukabidhiwa zawadi hiyo na...
View ArticleKatibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana aendelea na ziara yake Shinyanga...
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Abdulrahman Kinana pamoja na Katibu wa NEC Itikadi Siasa na Uenezi CCM Ndugu Nape Nnauye wakishiriki katika ujenzi wa Birika la Kunyweshea mifugo...
View ArticleMajambazi yavamia kituo cha Mafuta na kupora Laki Tano taslimu
Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Singida, ACP Geofrey Kamwela, akitoa taarifa ya uporaji katika kituo cha mafuta cha EAFCO kilichopo eneo la Mwenge mjini Singida.Watu watatu wanaodhaniwa kuwa ni...
View ArticleThe fake baby bump used by a Canadian social worker 28, to smuggle two kilos...
By Associated Press A Toronto woman who simulated pregnancy to try to smuggle 2 kilograms of cocaine was arrested today at Bogota airport by Colombian police. Col. Esteban Arias says 28-year-old...
View ArticleMimba za umri mdogo ni kikwazo kwa maendeleo ya Wanawake Visiwani
Na. HAMAD SHAPANDU, Pemba Mimba katika umri mdogo zimeelezwa kuleta athari kubwa huko wilaya ya Micheweni Mkoa wa kaskazini Pemba nakusababisha maisha magumu kwa wanawake na familia zao pamoja na...
View ArticleLocal Farmers can export Food Crops in the regional market
Senior Agriculture Advisor at SERA Policy Project, Alex Mkindi (R ) briefs journalists at a one day seminar on food security in Dar es Salaam today. SERA is the policy arm of the Feed the Future...
View ArticleWarembo Redd’s Miss Tanznia 2013 walipotembelea Marie Stopes kanda ya Kaskazini
Baadhi ya wafanyakazi wa Hospitali ya Marie Stopes ya jijini Arusha wakisalimiana na warembo wa Redd’s Miss Tanzania 2013 wakati warembo hao walipotembelea Makao Makuu ya Kanda ya Kaskazini mjini...
View ArticleGood news for Cement users from Tanzania Portland Cement
Minister for Industry and Trade, Dr Abdallah Omari Kigoda (R ) shakes hands with Tanzania Portland Cement Co Ltd Managing Director, Pascal Lesoinne during the official launching of the TPCC strong...
View ArticleAkamatwa na madawa ya Kulevya akijifanya mjamzito
Tabitha Leah Ritchie Na. Mo Blog Team MWANAMKE mmoja mkazi wa Toronto, Canada amekamatwa katika uwanja wa ndege wa Bogota, Colombia akijaribu kusafirisha kilo mbili za madawa ya kulevya aina ya...
View Article