Bibi kizee mwanamitindo avutia vyombo vya habari Ughaibuni kwa staili ya nywele
-Vikongwe vina mambo majuu!!! Na Damas Makangale Moblog kwa Msaada wa Mtandao Swala la mrembo na mitindo katika nchi za wenzetu au majuu sasa si la vijana peke yao bali wimbi la wazee wa kinamama wako...
View ArticleHatutawatetea wabeba dawa za Kulevya – Rais Kikwete
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa Serikali yake haitawatetea Watanzania...
View ArticleThe government vows to collaborate with stakeholders in the fight against HIV...
The Minister for Labour and Employment, Ms Gaudentia Kabaka officiate the HIV Corridor Economic Empowerment Innovation Fund project today during the official launching at the ILO office in Dar es...
View ArticleKinana aipa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Miezi Sita kutatua kero za...
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akifurahia waimbaji wa kwaya mara baada ya kuwasili katika kijiji cha Nyashimo Wilayani Busega katika mkoa wa Simiyu, Ndugu Abdulrahman...
View ArticleRais Kikwete akutana na uongozi wa CCM DMV Jijini Washington D.C.
Viongozi CCM DMV wakijadiliana jambo kabla ya kikao cha Faragha na Mhe. Rais Kikwete jana Sept 19,2013 jijini Washington DC, Marekani. Picha na Swahilitv Picha na Swahilitv Mh. Rais Jakaya Mrisho...
View ArticleSerikali ya Mkoani Tabora imewaagiza madiwani kusimamia kikamilifu fedha za umma
Katibu tawala mkoa wa Tabora, Kudra Mwinyijuma akizungumza kwenye hafla ya kumuaga aliyekuwa mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Igunga Protace Magayane Kwa sasa Magayane ni mkurugenzi wa...
View ArticleMama mwenye ujauzito wa miezi tisa aushangaza ulimwengu kwa mazoezi ya vitu...
Na Damas Makangale Moblog, kwa msaada wa mtandao Lea Ann Ellison, 35, Mama mwenye ujauzito wa miezi tisa afanya mazoezi yaliokithiri na wakosoaji wasema si haki na itaondoa usalama wakati wa...
View ArticlePresident Kikwete sends a Congratulatory Message to the Kingdom of Saudi Arabia
H.E. Dr. Jakaya Mrisho Kikwete, President of the United Republic of Tanzania has sent a Congratulatory Message to His Royal Highness Abdullah bin Abdul Aziz Al Saud, King of the Kingdom of Saudi...
View ArticleNBC yakabidhi zawadi kwa washindi wa promosheni ya Hijja ya Islamic Banking
Kaimu Mkuu wa Huduma za Kibenki kwa kufuata kanuni za Kiislamu (Islamic Banking) wa Benki ya NBC, Yassir Masoud (katikati) akikabidhi mfano wa pasi ya kuingilia katika ndege ya kwenda na kurudi...
View ArticleKim Poulsen mgeni rasmi mashindano ya Vijana umri chini ya miaka 15
Kocha Mkuu wa timu ya taifa (Taifa Stars) Kim Poulsen. Mahmoud Ahmad Arusha Kocha Mkuu wa timu ya taifa (Taifa Stars) Kim Poulsen anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye ufunguzi wa Ligi ya vijana chini...
View ArticleMkandarasi wa Barabara ya Mbeya hadi Lwanjilo kuilipa Serikali Shilingi...
Mhandisi Mkazi Eng. Peter Gibson (aliyenyoosha mkono) kutoka Kampuni ya Nicholas O’ Dwyer & Partner akimpatia maelezo Waziri wa Ujenzi Mhe. John Pombe Magufuli, kuhusu utekelezaji wa ujenzi wa...
View ArticleKinana ajilipua Bunda, hayuko tayari kuona Watendaji wa Serikali wanaiangusha...
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akiagana na Mkuu wa Wilaya ya Busega Ndugu Paul Mzindakaya wakati alipowasili Wilaya ya Serengeti kata ya Nzugu Mkoani Mara akitokea Wilaya...
View ArticleSerengeti Fiesta yatikisa jiji la Musoma uwanja wa Karume
Msanii mwingine anaefanya vyema hivi sasa katika anga ya muziki wa Bongofleva, Rich Mavoko akiwaimbisha mashabiki wake usiku wa kuamkia leo,mbele ya wakazi wa mji wa Musoma waliojitokeza kwa wingi...
View ArticleMwakilishi wa UK Sports atembelea Wizara ya Habari
Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Leonard Thadeo akifafanua jambo wakati wa mkutano wake na Mshauri Mwandamizi wa Shirika la UK Sports la Uingereza Bwana Elias...
View ArticleWabunge wa Afrika Mashariki wasema Jumuiya ni ya Wananchi
Mwenyekiti wa Wabunge wa Afrika Mashariki toka Tanzania, Alhaji Adam Kimbisa akizungumza na waandishi wa habari juu ya hotuba ya Mhe Rais Jakaya Kikwete na msimamo wa Watanzania katika Jumuiya ya...
View ArticleWanahabari wahimizwa mahusiano mema miongoni mwao
Mwenyekiti wa maadili wa bodi ya UTPC na mwandishi wa habari wa ITV mkoani Kigoma, Deo Sokolo (wa pili kushoto),akitoa nasaha zake kwenye mkutano wa dharura kati ya baadhi ya wajumbe wa bodi ya UTPC...
View ArticleMwana FA alonga na Vijimambo (Audio)
Mwanamuziki wa kizazi kipya anaefanya vizuri kwenye tasnia hiyo ya Bongo Flava, Hamis Mwinjuma a.k.a Mwana FA akipata picha ya pamoja na NY Ebra wakati alipokua akimfanyia mahojiano ya longa na...
View ArticleKinana awasili Songea Mjini
Msafara wa Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana ukipita leo katika ‘mkeka’ wa barabara, ulipokuwa ukitoka Namtumbo kwenda Songea, Kinana akiwa katika ziara mkoani Ruvuma, kukagua utelekezaji wa...
View ArticlePambika na Samsung yafanya droo ya kwanza kuelekea sikukuu za Mwisho wa Mwaka
Meneja Mauzo Rejareja wa Samsung, Sylvester Manyara akizungumza na wanahabari (hawapo pichani) wakati wa droo ya kwanza ya kuwatangaza washindi wa moja katia ya droo sita za kila wiki za Promosheni ya...
View Article40 Designers to Launch their New Collections in Dar
Swahili Fashion Week founder Mustafa Hassanali welcoming guests. The Sixth annual Swahili Fashion Week will take place at Golden Tulip hotel from the, 5th to 8th December 2013 in Dar Es Salaam,...
View Article