Meneja wa Bia ya Kilimanjaro, George Kavishe akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam kuhusiana na tamasha kubwa la “Kili Music Tour” litakalofanyika siku ya Jumamosi katika viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam, ambapo kiingilio kitakuwa sh. 2500 pamoja na bia moja ya Kilimanjaro bure. (Picha na Francis Dande).
Nasib Abdul ‘Diamond Platinum’ akizungumza na waandishi wa habari ambapo amewahakikishia mashabiki wake burudani ya nguvu katika viwanja vya Leaders Club.
Mkali wa Hip Hop Kala Jeremiah akitiririka.